Siku yangu ya kwanza kwenda kwa mganga

gwego1

Senior Member
Jul 28, 2023
147
521
Wakuu Salaam! Nianze kwa kuelezea historia yangu fupi ilonipelekea nikamtafta mganga Ili aweze kunikwamua na magum nayo pitia.

Mwaka jana mwezi 12 nilifukuzwa kazi ikanibdi nirudishe mpila kwapani na kurudi nje ya mji ambapo nilikuwa nimennua kiwanja! Nikaamua kujenga chumba na seble Cha chap Ili angalau nipate sehem ya kujistiri huku nikiwa naendelea kutafta kazi nyingne.

Tangia hio mwaka jana nimetafta kazi Hadi sahivi sijapata naishia kufanya interview lakni kazini siitwi, sahivi nafanya shuguri ndogo ndogo ambazo napata Hela tu ya kula.

Baada ya mambo kuendelea kuwa magum ikanibidi nitafte mganga aniangalizie shida Iko wap.Nilivyofika kwa mganga nikampa maelezo kidogo then akanambia nitoe elf 5 Ili aniangalizie shida ni nini? Ndo akaanza kupiga tunguli kwa maelezo yake anasema anatumia mizimu kujua matatizo ya mtu.

Baada ka ya nusu saa ya kupiga tunguli majibu aliyonipa nikwamba mizimu yangu haijakaa sawa ndo inasababisha mambo yangu kwa Sasa hayaeleweki na Ili ayaweke sawa inabdi atengeneze dawa ya kuitengeneza hio mizimu yangu iwe sawa.Na kiasi anacho taka ni shilingi laki tatu.

Naomba niwaulize Wana jukwaa Kuna mtu ambaye ashaenda kwa mtaalam akaambiwa ana shida kama yangu na akatengenezewa dawa mambo yake yakawa sawa! Natanguliza shukrani za dhati.
 
Wakuu Salaam! Nianze kwa kuelezea historia yangu fupi ilonipelekea nikamtafta mganga Ili aweze kunikwamua na magum nayo pitia.

Mwaka jana mwezi 12 nilifukuzwa kazi ikanibdi nirudishe mpila kwapani na kurudi nje ya mji ambapo nilikuwa nimennua kiwanja! Nikaamua kujenga chumba na seble Cha chap Ili angalau nipate sehem ya kujistiri huku nikiwa naendelea kutafta kazi nyingne.
Tangia hio mwaka jana nimetafta kazi Hadi sahivi sijapata naishia kufanya interview lakni kazini siitwi, sahivi nafanya shuguri ndogo ndogo ambazo napata Hela tu ya kula.

Baada ya mambo kuendelea kuwa magum ikanibidi nitafte mganga aniangalizie shida Iko wap.Nilivyofika kwa mganga nikampa maelezo kidogo then akanambia nitoe elf 5 Ili aniangalizie shida n nn!? Ndo akaanza kupiga tunguli kwa maelezo yake anasema anatumia mizimu kujua matatizo ya mtu.
Baada ka ya nusu saa ya kupiga tunguli majibu aliyonipa nikwamba mizimu yangu haijakaa sawa ndo inasababisha mambo yangu kwa Sasa hayaeleweki na Ili ayaweke sawa inabdi atengeneze dawa ya kuitengeneza hio mizimu yangu iwe sawa.Na kiasi anacho taka ni shilingi laki tatu.

Naomba niwaulize Wana jukwaa Kuna mtu ambaye ashaenda kwa mtaalam akaambiwa ana shida kama yangu na akatengenezewa dawa mambo yake yakawa sawa! Natanguliza shukrani za dhati.
Skia tumia akili yako uliyozaliwa achana na utapeli wa aina yoyote...fata watu wenye akili timamu na achana na haya mambo ya miujiza na uchawi dunia haiendi hivyo... Utaishia kumtajirisha mtu ambae Hana Nia ya kukusaidia
 
Hiyo Bei mkuu ni Kwa kazi ngumu na sio kuweka mizimu SAWA. Pia uende wataalam hata watatu na ukiona wote wanasema kitu kimoja au wawili wamefatana ndo ulifanyie kazi. Katika watatu Kila Moja muulize Bei. Kuna sehemu unakuta ghalama ni elf 50 au laki na mambo yatakaa SAWA.
 
BWANA asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake,
Na moyoni mwake amemwacha BWANA, Maana atakuwa kama fukara nyikani, Hataona yatakapotokea mema;
Bali atakaa jangwani palipo ukame, Katika nchi ya chumvi isiyokuwa na watu.

Amebarikiwa mtu yule anayemtegemea BWANA ambaye BWANA ni tumaini lake.

Yeremia 17:5-7
 
Huyo bwege..tatizo la hivo halizidi laki...elfu 50 tu ilitakiwa inatosha...tafuta waganga kama alivosema mdau juu ugharamie ramli tu..wakieleza tatizo moja ujue ndio la kussolve kwa sababu inaonekana huna uhakika na mganga wako
 
Shukuran mkuu
 
Back
Top Bottom