Siku yangu ya kuzaliwa marafiki wamenifanyia sherehe ya kushtukiza, upendo bado upo jamani katika dunia

Ila JF members wanapenda nyuzi za masikitiko wakupe pole za kinafiki

Sasa kosa la mleta mada ni lipi?kushare furaha yake kwa kuoneshwa upendo na wanaomzunguka?

Alichofanyiwa inahusiana vipi na utoto/kutokuwa na majukumu?

Hongera bhana Jorge WIP
Hongera pia kwa kufikisha umri uliofikisha,Mungu akakujaalie kila lililo jema
Negative comments wala usizingatie
Jamiiforum imekua ni kichaka Cha watu kumalizia stress zao, Kuna watu hawapendi kuona wenzao wanafurahi na hii ni tabia watanzania wengi wanayo
 
Dunia hii why ni tambara bovu hakuna mtu au watu wema wanakupendea kitu either unakonnection au kazi yako inawafaidisha au wanajua bila wewe kuna kitu kitalega.

Wanakutumia kishirikina either nyota ua kivuli au nafsi au nyaya au sura yako na wewe ni ngumu kujua kwa upendo wanaokuonyesha mie sina rafiki dunia hii
 
Back
Top Bottom