Siku yangu ya kuzaliwa marafiki wamenifanyia sherehe ya kushtukiza, upendo bado upo jamani katika dunia

Dunia hii why ni tambara bovu hakuna mtu au watu wema wanakupendea kitu either unakonnection au kazi yako inawafaidisha au wanajua bila wewe kuna kitu kitalega.

Wanakutumia kishirikina either nyota ua kivuli au nafsi au nyaya au sura yako na wewe ni ngumu kujua kwa upendo wanaokuonyesha mie sina rafiki dunia hii
Sio kweli wako watu wanaokupenda unconditional
 
Watu wanafikira potofu sana kila jambo hawakosi la kusema, ndio maana unatakiwa usiangalie watu wanasema nini, ili mradi huvunji sheria za nchi wala humnyimi uhuru mtu mwingine wewe fanya unaloona linakufaa, ukisikiliza hawa watu watakutumbukiza shimoni, watu wengine hawana ule wasaa wa kuweza kufurahia na marafiki, hivyo wanataka na kila anaewazunguka wawe hivyo. HAIWEZEKANI.
 
Miaka 10 ijayo ndio utakumbuka hili swali nililokuuliza.

Wewe bado immature.
Kikwete kafanya mpaka mahojiano kwenye siku yake ya kuzaliwa akiwa anatimiza miaka 72, tena akiwa na mke wake. Uzee wako na tabia zako za kizamani sio lifestyle ya kila mtu, wewe kama unafurahia kufuga bata na kulima bustani huna uwezo kuzuia mtu kufurahia tukio linalomhusu kisa unamzidi umri.

Hakuna kosa kisheria kafanya na dhambi kufurahia. Hasira zenu mjue pa kuziweka sio kuzibambikia kwa strangers
 
Kusherehekea birthday kwa mwanaume ni utoto labda kama ww ni demu sawa endelea
 
Back
Top Bottom