Yangu kama yako ina miaka miwili ilabkama mpya tatizo chaji inakimbia mnoyangu ni W4 ila majanga yani hata sina hamu na tecno
pole sana..hata mimi namiliki Tecno W3 inajiwasha na kujizima yenyewe yaan nataman hata kuivunja sema tu sina nyingine[emoji16]Kwanza wana jf niwape pole kwa mihangaiko yenu ya kila siku.
Mimi Nina simu ya Tecno w5 lakini sijui ni ya kwangu tu au na wengine.Simu yangu inamatatizo yafuatayo;
(1)Haiwaki button zake tatu za chini na
(2)Ina hard touch,yaani ukibonyeza ijaweza isi respond ,watalaam naomba msaada jamani.
WIDAJAMU
Nilikuwa nasubiri useme nami ni kama yako,na ttzo hivo hivo nikajua ni pekee yangu,pole sana..hata mimi namiliki Tecno W3 inajiwasha na kujizima yenyewe yaan nataman hata kuivunja sema tu sina nyingine[emoji16]
Zamani button zilikua zinawaka?Kwanza wana jf niwape pole kwa mihangaiko yenu ya kila siku.
Mimi Nina simu ya Tecno w5 lakini sijui ni ya kwangu tu au na wengine.Simu yangu inamatatizo yafuatayo;
(1)Haiwaki button zake tatu za chini na
(2)Ina hard touch,yaani ukibonyeza ijaweza isi respond ,watalaam naomba msaada jamani.
WIDAJAMU
Sikumbuki mkuuZamani button zilikua zinawaka?
Mwanzo touch ilikuaje? Kuna ishu ilitokea? Mfano kuanguka au kitu kam hicho
Angalia content mkuu na sio miyeyusho ya kutoa povu hilo.Kumbe kuna na siku za Tecno
Daa umeua wasilia na mwezi mwaka wakurekebishie iwe bomba
Michango yaoAngalia content mkuu na sio miyeyusho ya kutoa povu hilo.
Kwa taarifa yako sipangiwi cha kuandika na si-edit heading,wenye akili wataendelea kutoa michango yai
Sasa hii mkuu unabadilisha screen nzima au ni protector tu?Touch replacement
Mkuu kwani unaweza kunisaidiaje nikija huko,na ni sh ngapi?Waweza niona pia niko dsm mabibo hostel