Siku yako imeisha vipi, kwa furaha,majonzi au mawazo?

Nature ya kazi yangu inanifanya nikutane na mengi yenye kuumiza moyo na kugusa hisia za ndani kabisa za watu, hivyo nimejifunza kuwa na settled mind, kila initokeapo changamoto huwa sijifikirii mimi bali wale ninaowahudumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…