johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Ni siku ya watakatifu? Au siku ya kuwaombea na kuwakumbuka marehemu?Wale wote waliotangulia mbele za Haki mwenyezi Mungu wa mbinguni awasamehe makosa yao Wastarehe kwa Amani amen!
Amekosea!!!Watakatifu Tena wasemehewe !!
Watakatifu 🤔
Ndugu marehemu akifa si anakuwa Kesha chagua upande Sasa maombi yako yanawezaje kumuhamisha Toka alipochagua yeye Mana hakuamua kuwa huko mnapotaka awe.Amekosea!!!
Ni siku ya kuwaombea marehemu!
Ulikufa ukachagua upande?Ndugu marehemu akifa si anakuwa Kesha chagua upande Sasa maombi yako yanawezaje kumuhamisha Toka alipochagua yeye Mana hakuamua kuwa huko mnapotaka awe.
Hadi uambiwe Ubongo Ni App utaanza kuutumiaUlikufa ukachagua upande?
watakatifu nao kidini ina ruhusiwa pia kuwaombeaWatakatifu tena marehemu wana haja gani kuombewa?
Amen!Wapumzike kwa amani.
Amen. JPM pia ni mtakatifu na tayari yuko peponi mbinguni kwa baba yake Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amaniWale wote waliotangulia mbele za Haki mwenyezi Mungu wa mbinguni awasamehe makosa yao Wastarehe kwa Amani amen!