Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,419
Hata sielewi lakini naona kama kakataaa. Na akikataa jambo, sitaki nianze kumuuliza mara mbili mbili anakuwa mkaliHahahha kwa hiyo hajakukubalia?
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Mbaya aiseee! si unajua tena mioyo hii.Hahahahahaha hali ilikuwajee?
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Kasema . kweli siwezi msingiziaMmmmhhh! Kasema hivyo?? kweli??
Kwa kuwa ni suala la hela ndiyo maana hautaki kulazimisha eehHata sielewi lakini naona kama kakataaa. Na akikataa jambo, sitaki nianze kumuuliza mara mbili mbili anakuwa mkali
Ubaya ni nini?Mbaya aiseee! si unajua tena mioyo hii.
Mmmmhhh! no comment kwa kweli. But ninavyomjua that's impossibleKasema . kweli siwezi msingizia
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Hata mengine, I learn kila siku, si unajua i am a student of life. Juzi kati flani hivi nlimwambia kitu kikamkwaza aiseee hapakutosha mpaka nkajutaKwa kuwa ni suala la hela ndiyo maana hautaki kulazimisha eeh
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Naamini ushawahi kupenda! Ushawahi pata ile hali something has gone wrong and the other side ika-over react mpaka the other side ikaogopa??? Inakuwa mpaka hujui cha kusema unabaki umechanganyikiwaUbaya ni nini?
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Kama huna hela tulia usichanganye mafile hapa tunazungumzia night part
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha seems you know him than how I do..[emoji23][emoji23][emoji23] hadi nimeongea lugha ambayo siijui. Utasahihisha mwenyeweMmmmhhh! no comment kwa kweli. But ninavyomjua that's impossible
[emoji117][emoji117]me single boy, wahusika wa hii thread fanyeni yenu!![emoji849][emoji849][emoji849]Tujuane mapema wale tutakao kuwepo # kililove.....Hyatt regency
Kwenye siku ya ValentineView attachment 1008963
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha kabila gani huyo ana mori hivyoHata mengine, I learn kila siku, si unajua i am a student of life. Juzi kati flani hivi nlimwambia kitu kikamkwaza aiseee hapakutosha mpaka nkajuta
You might be knowing him well. But as far as I know, he loves you to death! Kufanya hivyo, please you need to check kwa kweliHahahahaha seems you know him than how I do..[emoji23][emoji23][emoji23] hadi nimeongea lugha ambayo siijui. Utasahihisha mwenyewe
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Ndivyo mnavyosemaga[emoji23][emoji23][emoji23]Naamini ushawahi kupenda! Ushawahi pata ile hali something has gone wrong and the other side ika-over react mpaka the other side ikaogopa??? Inakuwa mpaka hujui cha kusema unabaki umechanganyikiwa
Haya twende tukalale. Usiku mkubwa huuYou might be knowing him well. But as far as I know, he loves you to death! Kufanya hivyo, please you need to check kwa kweli
Mchaga huyoo. Looh!!! Hatari aisee, ni lazima apunguze hasira, hasira si nzuri na mara kwa mara namwambiaHahahaha kabila gani huyo ana mori hivyo
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Kweeeeli. Unadhani namtetea??? unachanganyikiwaaaNdivyo mnavyosemaga[emoji23][emoji23][emoji23]
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Kwa kweli, hata hivyo nami nimechokaaaa leo!Haya twende tukalale. Usiku mkubwa huu
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.