Two dimension array
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 1,591
- 2,383
MtumeeeeeTujuane mapema wale tutakao kuwepo # kililove.....Hyatt regency
Kwenye siku ya ValentineView attachment 1008963
Sent using Jamii Forums mobile app
Tsh. 22.4M cute bHebu nisomee hiyo hela nimesahau miwani yangu ofisini.
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Tujuane mapema wale tutakao kuwepo # kililove.....Hyatt regency
Kwenye siku ya ValentineView attachment 1008963
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu ngoja nimtag beby kama ataweza kunipeleka
Inahitaji uwe na kifua wachache tu ndo tunaweza na pata Jaa mpaka utashangaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji856][emoji856][emoji856][emoji856][emoji856][emoji856][emoji856]
Per couple kama hutojali! Hahaha....Hebu ngoja nimtag beby kama ataweza kunipeleka
Cc. .......
Ila watu wana utani aisee.
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Kwahiyo madam utatoka uziguani mpaka DarMimi na bby wangu tutakuwepo siku hiyo.
Watakaokuwepo wengine tutafutane wakuu tujuane tukifurahia Valentines na wapenzi wetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Account ya beb haina hata kumi[emoji23][emoji23][emoji23].
Inahitaji uwe na kifua wachache tu ndo tunaweza na pata Jaa mpaka utashangaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Account ya beb haina hata kumi[emoji23][emoji23][emoji23].
Ndiyo nishakosa hiyo siku jamani.
Vipi watarusha live? (Kidding)
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Mbona wametanguliza kuweka pesa kwenye hili bandiko kuliko yale mahitaji mtakayopewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitakupa lift hata uingie kwenye soski zangu ili usikose tu hiyo special day( kidding) cute bAccount ya beb haina hata kumi[emoji23][emoji23][emoji23].
Ndiyo nishakosa hiyo siku jamani.
Vipi watarusha live? (Kidding)
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.