Siku ya Wanawake, Straight Talk


Na hapo ndipo zinapoishia akili, fahamu, ujanja na uwezo wa mwanamme. Yareti wanawake wengi wangejuwa hiyo weakness yenu na kuitumia kwa faida yao.

" A man has only enough blood for one head".

Happy Women's Day
 
Yaani wanawake mngekua na akili mzuri na uwezo wa kufikiri hii siku mngeikataa,
hivi katika mwaka mzimz siku yenu moja tu? Hebu mfikiri vizuri,
mimi nafahamu siku zote mwanamke ni zake kwa kuwa ana mchango wake kwenye maisha kila siku,sasa nyie siku yenu moja tu?
 
Duh, hivi humu kuna mambo hivi eeh??? hebu naombeni details zaidi kuhusu hawa TRIPLE ENTENTE aisee, manake loh hadi nimesisimuka
Je, wanatumia mbinu zipi lara 1?? au yeyote mwenye ufahamu

Hahahahaaaaaaaa! WHAT YOU DONT KNOW CAN NEVER KILL YOU!!!!!!!!!
 
Sometimes you pay the price for only being a man in a men's world, so brace yourselves my brothers. Happy women's day
 
Happy women's day lara 1
Speaking as a proud woman and a mother....signature yako inasema kila kitu....Member wengi sana walivuma kwa kishindo wamedisappear kimyakimya....tunatakiwa kuwa makini aisee!!

Ndugu yanguuuuu. STIGMA! Hata hapa nimesema but they will never admit it anyway in a million years. I guess tutaendelea kuwa pray hivi hivi.
 

Mtu wa hivo dawa yake kumuwahi tuuuu! Unajiandaa mapema na badala ya kungoja akushtukize kukuomba unapanga wewe kuwahi kumpa lini na lini.
 
Na hapo ndipo zinapoishia akili, fahamu, ujanja na uwezo wa mwanamme. Yareti wanawake wengi wangejuwa hiyo weakness yenu na kuitumia kwa faida yao.

" A man has only enough blood for one head".

Happy Women's Day

Mbona wengi tu wanaitumia hiyo fursa mama, si ndo hivo wanapata ajira, wanapanda vyeo, wanapata upendeleo kwenye fursa nyingi tu za posho, ma-DC ndo hao umewaona sasa sijui we unatakaje zaidi,halafu eti mnakaa kukea wasitumie miili yao wakati soko lipo!! si ndo maana zoezi liko kwenye makaratasi tu halifanikiwi ng'o!!
 
Happy Women's Day...
Najivunia kuwa mwanamke..... hilo ndio naloweza kusema kwa sasa...

Btw naona siku hizi jukwaa liko tulivu saana kuna watu walikuja wakawa wana snitch na kutaka kulivuruga wakaishia kujivuruga wenyewe ru

Mmmmmmmmmmh! YOU HAVE NO IDEA! Mi juzi kuna mtu kaniomba ushauri yaliyomkuta ni mazitooo humu. Mi nikamwambia kama vipi lianzishe anaogopaaa. NIKABAKIA KUSIKITIKA TU. Believe that little situation is getting worse.
 
Lara 1..we mkali dada..hongera sana I like ur post kwa kweli!ur worth mamaa!
 
Mmmmmmmmmmh! YOU HAVE NO IDEA! Mi juzi kuna mtu kaniomba ushauri yaliyomkuta ni mazitooo humu. Mi nikamwambia kama vipi lianzishe anaogopaaa. NIKABAKIA KUSIKITIKA TU. Believe that little situation is getting worse.

Siyo kwamba wanajirahisisha wenyewe kweli?
 

Wakisema 9 dec ni siku ya uhuru haimaanishi zile 364 zingine tunatawaliwa na wakoloni.
Happy women's day
 

Totally wrong.

Hiyo unayoongelea wewe ni "hongo".
 

We siku moja unaiona ndogo, ila ILITUCHUKUA KARNE NA KARNE KUPAMBANA KUIPATA HIO SIKU MOJA. Lazima tuishereke kikamilifu.
 

Kutumia mwili kunakuja kama LEVERAGE ya impossibility mlizoziweka nyie wanaume. Inakuwa mnaacha NO WAY OUT! Either ukubali kustaafu bila cheo au ndo utoe mwili. Mwanamke hawezi kutoa mwili wak isipomlazimuuu. Ndo pale njaa imekubana, una shida ya kazi, boasi nataka mzigo. EITHER WAY YOU LOSE!!!!!!! Ukimpa kakutapeli, ukimnyima njaa itakumaliza sooner or later. That is a challange of being a woman.
 
REALITY IS ALWAYS STRANGER THAN FICTION!!!!!!!! Hahahaaaa. We ukijishauri wenzio wanakula.

Duh, aisee..mi nilikuwa najua yanaishia hapahapa, Poleni wadada mliokumbwa na Yote yaliyosemwa
 
Tukija kwenye dini tunaona ya kuwa wanawake tunatakuwa tuwe chini ya lkn kwa sababu ni science na technology tunajikuta tunataka kwenda sawa kitu ambacho tukikiendekeza.saanammwisho wa cku hutuumiza wenyewe kuna wakati tunatakiwa tukubari hari arisi ya kuwa hatuwezi kuwa juu ya wanaume hta cku mja tutafurukuta kkn mwisho wa cku lazima tukae na ndoa nyingi cku hz hazidumu kwa sababu ya hii kitu inayoitwa haki sawa ila samahani km nitawakwaza wanawake wenzangu lira1 nakukubari saana
 
Nimekubaliana na 75%ya point zako,but lara1 kuna kitu najiuliza why hampendani ninyi wenyewe?mifano iko mingi niliwahi kufanya kaxi na mwanamke fulani akiwa GM wa kampuni moja kubwa sana but huwezi amini hakupenda kuajiri wanawake wenzake hata kama wana vigezo vya kufanya kazi hiyo,nawaomba kinadada mjitambue kwanza na mpendane wenyewe kwanza,hata katika mafanikio huwa mnaangushana wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…