My Honest Book
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 1,490
- 2,455
Tuzo wanapewa watu sio handle Mkuu wanapewa watu,watu eenyewe mpo mpo tu hamjulikani,mmejazana kwny kimasihara uko afu mnataka tuzo
Au ni vile vifaranga 😂😂
😂😂 yan mpk dk hiii meneja amepigwa KO na ndugu muajiri🤣🤣🤣🤣🤣
Daah sikumuwazia kabisa
Yan kwambaTuzo wanapewa watu sio handle Mkuu wanapewa watu,watu eenyewe mpo mpo tu hamjulikani,mmejazana kwny kimasihara uko afu mnataka tuzo
Af imetokea ghafla sana😂😂 yan mpk dk hiii meneja amepigwa KO na ndugu muajiri
😂😂 nitawatag wabadilishane hivyo vyeo chap chapAf imetokea ghafla sana
It's high time meneja ajiuzulu, amuachie bwana muajiri cheo
Unataka kuanzisha vita ya 3 ya dunia wewe 😂😂😂😂 nitawatag wabadilishane hivyo vyeo chap chap
nawasusaUnataka kuanzisha vita ya 3 ya dunia wewe 😂😂
Ukorofi utaacha lini lakini, si umeshakua mkubwa wewe 😂😂nawasusa
Kama sio mm niliewatag
Tena nakuja kuwacheka kwanza kabla ya kuwasusa
Nilikuwa lini kwanzAUkorofi utaacha lini lakini, si umeshakua mkubwa wewe 😂😂
Mwezi juziNilikuwa lini kwanzA
Un specified/ un categorized tuzo 🤣❤️
Ndio natambaa bado ujueMwezi juzi
Kuelekea wapiNdio natambaa bado ujue
Sinza 😂😂😂Kuelekea wapi
Asante kwa kuja 🤣🤣Sinza 😂😂😂