Siku ya wanawake duniani hapa JF, tuzo zitolewe

Siku ya wanawake duniani hapa JF, tuzo zitolewe

Napendekeza na sisi wanawake wa jukwaa hili tusherekee humu
Naomba tupendekeze muda na siku na mgeni rasmi. Pia ifanyikie jukwaa gani.
Na nani apewe tuzo gani etc
Maoni tafadhali
Check out on my thread before you get fooled.

 
Kwani tuzo c mtu anapewa kutokana na watu wanavomuona? Au anachagua๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Anapewa na watu. Ila kwanza inabidi aseme kama yupo tayari kushiriki au la ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Back
Top Bottom