mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,585
- 11,269
Ndugu zangu leo ni siku ya walimu. ili kuwaenzi waalimu, tutaje majina ya walimu ambao hatuwezi kuwasahau ikiwezekana na majina ya utani. Mimi Naanza na MWALIMU KANGAHAWE, MWALIMU NENULA, MWALIMU KAPELEKWA, MWALIMU MLAWA, MWALIMU MBAGA, MWALIMU MWAMBAGE, MWALIMU SAPULA, MWALIMU SAMBAYINA, MWALIMU MWENDUGANGA, MWALIMU MAWALA(NYUMBU), MWALIMU CHAULA (MBOGO), MWALIMU MGODO, MWALIMU MwALIMU SIMON, MWALIMU MITANDA..... ENDELEA