Siku ya walimu duniani 05/10

KiuyaJibu

JF-Expert Member
Aug 29, 2007
834
158
Leo ni siku ya Walimu duniani;ninaomba niseme kama ifuatavyo:katika kila wanafunzi 10 wa darasa la tatu(3) hawawezi yafuatayo:-
07 katika yao hawawezi kusoma hadithi ya Kiswahili ya darasa la pili(2);
07 kati yao hawawezi kufanya Hisabati za kitabu cha darasa la pili(2);
09 kati yao hawawezi kusoma hadithi ya Kiingereza ya darasa la pili(2).
Utafiti huu umefanya katika wilaya 132 nchini Tanzania;na kuhusisha watoto wenye umri wa miaka 07 hadi 16.
Na wakati huohuo serikali kwa mara nyingine tena imerudisha mtihani wa Taifa wa kidato cha pili.
 

dedam

JF-Expert Member
Jan 5, 2011
845
165
wanafunzi mia 2 mwalimu kipindi dk 40 unataka wanafunzi wote wajue kusoma na kuandika! La kwa miujiza
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom