kisokolokwinyo20
JF-Expert Member
- Apr 15, 2019
- 472
- 424
.Natanguliza SAMAHANI!
Hii siku ya Babaz inaeleweka nakuthaminiwa sana na wale waliolelewa na baba zao tu ila nyie wengine mliolelewa na Mama zenu pekee hamtapenda hata kuisikia kwakuwa mara nyingi mama zenu walishawajengea chuki dhidi ya baba zenu tokea utotoni mwenu.
Mama anamwaga sumu kwa mtoto,na toto lenyewe jinga mpaka linakuwa kubwa bado halitafakari kuwa hata utayari wa baba kushiriki ile something ilikuwa ni jambo kubwa na lapekee lakumshukuru baba,kwani end result ikawa kuzaliwa kwangu.
So nyie watoto wa mama acheni kupotoshwa potoshwa na mama zenu,kuweni positive kwa Babaz.
Nimeona hakuna mbwembwe kama ilivyo kwa Mamaz Day.
Happy Father's Day To All Fathers' Out There.
[emoji23][emoji23]Happy father day , but sperms donor msubiri siku yenu...teh
Happy father day , but sperms donor msubiri siku yenu...teh
Basi nitamuijia mwanangu, lakini this time usininyime....teh[emoji23][emoji23]Mbona na ww ni sperm donor mkuu?![emoji40][emoji111][emoji123]
ahaha...unataka mwanangu awe mwizi mwiz eh๐๐Basi nitamuijia mwanangu, lakini this time usininyime....teh[emoji23][emoji23]
Huo ndio pekee urithi wenye nimemuandalia....[emoji23][emoji23][emoji23]ahaha...unataka mwanangu awe mwizi mwiz eh[emoji126][emoji126]
Happy Father's DayNatanguliza SAMAHANI!
Hii siku ya Babaz inaeleweka nakuthaminiwa sana na wale waliolelewa na baba zao tu ila nyie wengine mliolelewa na Mama zenu pekee hamtapenda hata kuisikia kwakuwa mara nyingi mama zenu walishawajengea chuki dhidi ya baba zenu tokea utotoni mwenu.
Mama anamwaga sumu kwa mtoto,na toto lenyewe jinga mpaka linakuwa kubwa bado halitafakari kuwa hata utayari wa baba kushiriki ile something ilikuwa ni jambo kubwa na lapekee lakumshukuru baba,kwani end result ikawa kuzaliwa kwangu.
So nyie watoto wa mama acheni kupotoshwa potoshwa na mama zenu,kuweni positive kwa Babaz.
Nimeona hakuna mbwembwe kama ilivyo kwa Mamaz Day.
Happy Father's Day To All Fathers' Out There.
ahaha...unataka mwanangu awe mwizi mwiz eh๐๐Basi nitamuijia mwanangu, lakini this time usininyime....teh[emoji23][emoji23]
Nasubiria jibuMbona na ww ni sperm donor mkuu?![emoji40][emoji111][emoji123]