Siku ya Sheria: Rais Magufuli azindua Mahakama inayotembea, Mfumo wa kieletroniki wa kuratibu mashauri! Asema uongozi wake hauingilii Mihimili mingine

Is it MOB INJUSTICE or MOB JUSTICE, I prefer the later.
Wananchi wasitahadhalishwe kutojichukulia sheria mkononi.
 
Naona ni mbinu yake ya ku counter offense Lissu. Badala ya viwanda kufungua na kuweka majiwe ya msingi yeye yupo kwenye live kila siku pole mheshimiwa Jiwe
Mkuu Jurrasic, tarehe 6 mwezi wa pili ni siku ya sheria, yaani Lissu angekuwa hayupo huko nje au yupo leo rais angekutana na wanasheria. Mambo mengine sio lazima uwe na elimu kubwa kama wale watengenezaji wa ndege na mabomu ya kivita, akili ya kawaida kabisa inatosha.
 
Sawa, nitajie marais wengine waliopo Tanzania
Kuna Rais wa TFF,Rais wa bao nchini,Rais wa TLS nk!
Ningisema Rais wa JMT,ndio huyo mmoja!
Kwa msaada kwako!
Raʾīs (Arabic: رئیس‎; also spelled Raees; lit. chief, leader) is a title used by the rulers of Arab states in the Middle East and in South Asia. Swahili speakers on the Swahili Coast may also use it for president. It is translated as "president" in Arabic, and as "boss" in Persian. In Urdu, the word Rais is also used similarly to the English term "old money," as the opposite or antonym of nouveau riche, a person who has accummulated considerable wealth within his or her generation.
 
Kamkimbia Fatuma 2020 si atawakimbia wapiga kura akitakiwa ajibu hoja
 
unaongea upuuzi wewe. Rais anatakiwa awe karibu na wananchi wake kwa kila hali. Nyumbu wewe
angemtuma waziri wa sheria si ingetosha?
hayo maneno aliyo rudia rudia si shanagzi wa taifa angeongea? eti mda hautoshi? ipo siku tani 10 za udongo zitakaa kifuani, ipo siku mtu atakaa kwenye weel chair hana meno hawezi kusimama na ndiposa atajua mda unatosha ama la
 
ignorant thinking. Mkuu huna kazi ya kufanya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…