Silicon Valley
JF-Expert Member
- Mar 6, 2012
- 1,092
- 1,119
Mbona kariakoo baadhi ya watu wanakamatwa ?Ndio mzee. Maisha lazima yaendelee.
Siyo fair kama ni kwel watu wanakamatwa,mbn wadau wengne wanafany kaz kam kawaida,maboda boda,watu wanasafir kwa mabas vip sas iwe hapo wakamatwe?!Mbona kariakoo baadhi ya watu wanakamatwa ?
Yaan hadi sahivi bila bila.Na mi nashangaa hao makarani hatuwaoni... Au ndo washasepa na tablets??
[emoji23][emoji23][emoji23]Na mi nashangaa hao makarani hatuwaoni... Au ndo washasepa na tablets??
Tunasaidiana kulipa kodi au sio?Mbona kariakoo baadhi ya watu wanakamatwa ?
Ebu toa maelekezo vizuri kijana, wamekamatwa na nani na kwa makosa gani?Mbona kariakoo baadhi ya watu wanakamatwa ?
wanakamatwa kwa kosa ganiMbona kariakoo baadhi ya watu wanakamatwa ?
Maduka yamefunguliwa ila wanaokamatwa kariakoo so fair kabisa alaf hao makarani mpaka sasa hatuwaoni.SIKU YA SENSA MADUKA RUHUSA KUFUNGULIWA?
Tafadhali wekeni wazi maduka mitaani ni ruhusa kufunguliwa leo?
Tunajua wafanyakazi leo ni mapumziko je sector binafsi hasa mitaani maduka nini utaratibu?
Wamepewa tablets kampun gani apple au samsung...?Na mi nashangaa hao makarani hatuwaoni... Au ndo washasepa na tablets??
Ili muwakabe mpite nazo [emoji16]Wamepewa tablets kampun gani apple au samsung...?