Siku ya nne leo sijapata haja kubwa

Siku ya nne leo sijapata haja kubwa

Kwa hali ya uchumi ilivyo Tanzania,unye kwa Cha chakula gani ulichokula!?

Wapo wanaokunya mkuu... kilamtu ale kwa urefu wa kamba yake
kunyakunya kunatokana na hali ya kulakula, sasa kama unakula mlo mmoja hafifu kwa siku utakunyaje siku hiyohiyo? Itabidi usipate msukumo mkubwa wa haja kubwa hadi tumbo na utumbo vijae
 
Kuna watu wanakunya mara tatu kwa siku moja, sio kwamba wanaharisha, wanashusha kimba kubwa la kilo mbili! Kwa nini? Kwa sababu muda mwingi wanakulakula tu, tumbo linajaa. Safari za chooni haziishi. Wanaokula hovyohovyo wakiwa safarini husumbua mabasi yashuke porini/vichakani wakanye, wanaita kuchimba dawa
 
Back
Top Bottom