Yangu hamta enjoy..toka niambiwe nafanya vitu kwa makini sana
Hiyo video inaoneshwa kwa wote au kwa mhusika pekee? Kama ni kwa wote ningependa sana kuiona video ya FaizaFoxyKuna mtumishi mmoja alinambia kuwa tukifika mbinguni kabla ya hukumu..kutakuwa na video ikionyesha maisha ya kila mtu katika kipindi chote cha uhai wake....
video ya nani unaisubiria kwa hamu sana kuitazama????
Mkuu umenifanya hadi nitafute video..duniani kuna vituko sana..Jehovah ana wake wa kutosha..hahaha