Siku ya Mazoezi; Arusha Yazizima, RC Gambo anena

Nami nilishangaa nikihisi kuna janga limetokea
Hahahaha pole mkuu mi mwenyewe nlikimbilia nkajiuliza kuna nini tena......ila kuzizima ni neno sahihi pia linapotumika kuonyesha furaha...i mean mji unaweza kuzizima kwa furaha
 
Nakumbuka Dar ilizizima siku ya mapokezi ya Mwili wa Mwl. J. K. Nyerere, nikilinganisha na hilo la Arusha naona kama Mashariki na Magharibi zimekutana
 
Leo ni siku ya mazoezi kitaifa kama ilivyoelekezwa na Mh. Samia Saluhu makamu wa rais....
Mkoani Arusha zoezi hili limezinduliwa na mkuu wa mkoa wa Arusha Mh Gambo.
Zoezi lilianza saa kumi na mbili asubuhi katika viwanja vya mkuu wa wilaya wa Arusha na kuhitimishwa katika uwanja wa sheikh Amri Abeid Kaluta.
Zoezi hili limefana sana na kupata mwitikio mkubwa wa makundi mbalimbali.Mh Gambo alipata fursa ya kuzungumzia vita ya madawa ya kulevya ambapo alisema kwa mkoa wa Arusha zoezi hili linaendelea kimyakimya ambapo watuhumiwa wanakamatwa na kuhojiwa kabla ya kuja kutangazwa baada ya kujiridhisha na tuhuma zake. Vile vile mkuu wa mkoa aliwaasa wananchi wasitajane kwa chuki na husuda kwani ni jambo baya na linaleta mvurugano katika jamii...."mutaje watu wanaohusika kweli na sio mtu mmegombana kwenye mambo yenu huko unaamua kumkomoa,RPC anaendelea kupokea majina na task force inaendelea kufanya uchunguzi kabla ya kuja kwenye media" alinukuliwa kiongozi huyo wa juu ngazi ya mkoa.
Mazoezi haya ni kwaajili ya kujenga utamaduni wa kufanya mazoezi ili kupambana na magonjwa hatari kama kisukari na mengineyo yasiyoambukiza.

7c543122c89b6ab47356698dea3c11f6.jpg

739ed9395b5f59d654a55c27669d8328.jpg

b220c11e92d05d188b2d84b7732b5652.jpg

7c9236ed2b82bfdd167dc770997053f2.jpg

Mh Gambo akimalizia push up ya mia moja...
770eaa25c9869d7625e383bee3c8247b.jpg

3bf42a71fdd44e457df2317fde85578d.jpg

Mkuu wa mkoa wa Arusha akizungumza na walemavu waliokuja mazoezini
e24b29de1ee7c19cd77eaed1fe7cd6f0.jpg

RAS mkoa wa Arusha na RPC Charles Mkumbo wakipiga push up
6a7457c4955d3369a9c00b8e3d3468fc.jpg

Taasisi za umma zilishinda mchezo wa kuvuta kamba.
Ni ujinga kufanya mazoezi Mala moja kwa mwezi kisha ukajitekenya na kucheka
 
Unazijuwa push up 100 au unadhani JF wamejaa mashoga wenzako?
 
Mkuu katika falfasa ya mapambano mtu anapoamua kutumia matusi kwa kweli ni dalili ya woga, kushindwa na kuishiwa hoja.....kama hata suala dogo hivi la mazoezi kwenu ni mtaji wa kufanyia siasa kwakweli nina mashaka sana na aina ya watu mlioko huko.....tuvumiliane tu jamani mpaka 2020.
Mtoa mada ndio ameleta mada kisiasa zaidi. Anaposema Arusha imezizima maana yake nini?!
 
hao ni ccm wakuleta na magari toka mnakokujua.na wala co wengi wa kucfia kuzizima ni kiki tu km za makonda,kukimbia kupimwa na Dr km alivyo omba Sugu bungeni.
 
Naona MA-RC wote sasa agenda yao ni Madawa ya kulevya tu, Agenda zote za nyuma zimeshasahaulika!

Hii SERIKALI ya Mizuka kazi kweli kweli!

Hii inanikumbusha kipindi kile cha uhaba wa sukari, Kila RC alivyokuwa bize kusaka sukari.

Na hili la madawa nalo litapita....!
 
Wewe msukule wa Lowassa a.k.a Msalani ni kupuuza hakuna asiyejua ni njaa zinakusumbua.
 
Back
Top Bottom