Siku ya kwanza ya ndoa

Siku ya kwanza ya ndoa

Mgegedo ulisinyaa kila nilipokuwa nikifikiria madeni yaliyokuwa yananisubiri na wapi pa kupata nauli ya ukoo mzima uliokuja kwenye harusi.....bila kuongezea pesa ya kuanzia maisha...... haikuwa honey moon ila hottest moon!!!!

Umenichekesha. Ulipaswa kupata headache ya nauli ya wazazi wako tu. Wengine wajihudumie wenyewe, wamekuja wenyewe kwa raha zao why shida upate wewe? Na hapo ukute hata mchango hawajatoa na umewalisha cku zote hizo na malazi umewapa.
Wajijue wenyewe na baada ya harusi wasepe fasta sio wanakaa mwezi mzima.
 
Back
Top Bottom