Siku ya kwanza ya ndoa

Siku ya kwanza ya ndoa

Hakuna kama Honeymoon days,baada ya kua Mama na baba tena majukumu mengi na kuna time inafika mnabaki kukumbuka na nakucheka mnasema those were the days lol.....

Tushirikishe ya kwako ilikuwaje?
Je kwa sasa ni vp?
 
Siku ya kwanza nilipooa nilijisikia raha sana. Nilipokwenda honeymoon sikutaka kumwachia kabisa my honey, nilikuwa nataka kila muda tu tugegedane! Mpaka leo miaka kadhaa ya ndoa hamu haijapungua!
Wewe je toa uzoefu wako!

Bro wangu aliniambia yeye aligegeda mpaka akaumwa!
 
Duh!Umenikumbusha mbali sana.Ilikua siku ya aina yake hasa ukizingatia Kwa mke wangu ilikua ndo mara ya kwanza.Ila sasa ametoweka nyumbani.Na kisa nimeshasimulia hapa.Sitosahau.
 
Tushirikishe ya kwako ilikuwaje?
Je kwa sasa ni vp?

Yangu ilikua MAURITIUS baada ya reception tukaenda hotel kubadili nguo za harusi usiku saa 9safari ikaanza,sisahau kama kuna kipindi nilibebwa kama mtoto ni wakati ule sikunyanyua hata kijiko,ni raha kwakenda mbele,week2 nilikua huko na mimba ya kwanza ya watoto wangu mapacha niliipatia huko huko lol, yani sasaivi ukinambia kuna raha gani au nini hutosahau cha kwanza hii Honeymoon yangu na itakua hadithi kwa wajukuu zangu inshallah...mwenyezi mungu ampe afya na uhai mrefu mumewangu hakuna asichonipa amenidekeza kupitiliza kikubwa nikiswali namuombea umri mrefu nife anizike
akitangulia yeye nahisi sitakua na mda mrefu manake amenidekeza vibaya sanaaaaaaaa....lol
 
Hongera sana!
Amazing!
 
Loooh raha jamani mweeee
 
Loooh raha jamani mweeee

Shosti sisemi wenzangu hawadekezwi zaidi yangu lakini take it from me ameniharibuu na mwenyewe najua na siwezi kumzowea mwengine sijisikiiiiiii sili mpaka awepo kama kasafiri nakua mgonjwa si mgojwa,nikienda kwetu ndio utacheka week nyingi nataka kurudi kwangu na yeye kuka kwetu hataki....lol tumeamua tujenge nyumba ya 5bedrooms yakufikia...nampenda sanaaaaaaaaaaaaaa lol
 
(Uuuuh nimetamaniajeeee[emoji85] [emoji85] [emoji85]). Haijalishi bana kama wapo wanaodekezwa zaidi yako, cha muhimu unajivunia chako shoga angu. Uzidi kumshukuru Mungu kwa ajili ya mumeo ndugu yangu. Na Mungu aendelee kuwapigania na kuwabariki siku zote.
 
Amin,asante Inshallah na wewe mungu atakupa kila chenye kheir na wewe na atakuondolea kila lenye shari na wewe..
 
Shosti sisemi wenzangu hawadekezwi zaidi yangu lakini take it from me ameniharibuu na mwenyewe najua na siwezi kumzowea mwengine sijisikiiiiiii sili mpaka awepo kama kasafiri nakua mgonjwa si mgojwa,nikienda kwetu ndio utacheka week nyingi nataka kurudi kwangu na yeye kuka kwetu hataki....lol tumeamua tujenge nyumba ya 5bedrooms yakufikia...nampenda sanaaaaaaaaaaaaaa lol

Keep it up!
Hongera.
 
Siku ya kwanza nilipooa nilijisikia raha sana. Nilipokwenda honeymoon sikutaka kumwachia kabisa my honey, nilikuwa nataka kila muda tu tugegedane! Mpaka leo miaka kadhaa ya ndoa hamu haijapungua!

Wewe je toa uzoefu wako!

Mgegedo ulisinyaa kila nilipokuwa nikifikiria madeni yaliyokuwa yananisubiri na wapi pa kupata nauli ya ukoo mzima uliokuja kwenye harusi.....bila kuongezea pesa ya kuanzia maisha...... haikuwa honey moon ila hottest moon!!!!
 
Watu tuko bize kukusanya matokeo kutoka vituoni,nyie mnawaza ngono tu.
 
Mgegedo ulisinyaa kila nilipokuwa nikifikiria madeni yaliyokuwa yananisubiri na wapi pa kupata nauli ya ukoo mzima uliokuja kwenye harusi.....bila kuongezea pesa ya kuanzia maisha...... haikuwa honey moon ila hottest moon!!!!

Duu pole sana, lakini bado naamini una furahia ndoa!
 
Back
Top Bottom