Siku ya kwanza Mpambe wa Rais hadharani kikazi..

tatum

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2018
Posts
5,786
Reaction score
4,494
g3.jpg
 
Sasa hivi kawa mweusiiiii,kitambi Hakuna na makunyanzi ya hatariiiiii. Kweli kazi kazi hapo adhabu tuu
 
Hivi hatuwezi kubadili Sheria ili hawa wapambe wakawa nao wanapiga Suti kali za Kiraia?Na hasa kwenye matukio makubwa mfano dhifa nzito nzito nk.Mungu Ibariki Tanzania.
 
Mbona wanavaa mkuu sema sio siku zoteee,,hukuona siku zile kanisani siku ya pasaka brigedia mkeremy alivaa bonge la suti siku hyo sema suti yenyewe ilimzd uwezo hivi jamaa mwembamba mno afu anavaa mabwanga hehehehehehe natania tu.
 
Namuona lyatonga in EARLY STONE AGE hapo behind
 
Mbona wanavaa mkuu sema sio siku zoteee,,hukuona siku zile kanisani siku ya pasaka brigedia mkeremy alivaa bonge la suti siku hyo sema suti yenyewe ilimzd uwezo hivi jamaa mwembamba mno afu anavaa mabwanga hehehehehehe natania tu.
Kumbe Mkelemy kapandishwa cheo?
 
Hivi hatuwezi kubadili Sheria ili hawa wapambe wakawa nao wanapiga Suti kali za Kiraia?Na hasa kwenye matukio makubwa mfano dhifa nzito nzito nk.Mungu Ibariki Tanzania.
Mkuu matukio gani makubwa...haya ya kuzindua matawi ya bank???
 
Mpambe wa Rais anamiliki kitambi cha kufutia kioo cha smartphone

Hata wale wa Pembeni wenye suti za dark blue Kila Mmoja kabeba kitambi chake wanashindana tu Na Bosi wao
 
Baada ya kazi huwa kuna heavy menu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom