Ukiendekeza genye zitakupeleka kubayaKama heading inavyosema sitasahau siku mwili uliponiwasha nikajipeleka maeneo flani hivi ambako bitch wanapatikana kwa 5000 baada ya kumaliza haja yangu nilitamani kulia maana nilijua HIV nimeshapata mpaka leo sitaki tena kurudia huo mchezo
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh!dyu jaaa mwoga ww sisi tunakula samaki pande zote na hatuogopi
Mbona hutoi ushuhuda?aiseeee
usiku mrefu kweli
unanitafutia sababu au sio ??Mbona hutoi ushuhuda?