CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 950
Nakuuliza wewe mwana Chit-Chat.
Hivi ulijisikiaje siku unajiandaa kwenda Dar,vp usingizi siku hiyo uliupata?vipi ulikula kweli siku hiyo?mavazi jee uliyo lipuka nayo kuingilia jijini?
Wapi/Nini kilichokua kikikuvutia kabla ya kuingia,na jee ulipoingia jijini ulifanikia kukipata/kufika?
Nini ambacho hutakisahau kilichokupata baada ya kufika jijini?
Vipi wale jamaa(matapeli wasukuma)wa madini aina ya ALMASI hukukutana nao?
Vipi pale shule ya uhuru hukuchomolewa kweli?
Roba za mbao kule mwananyamala jee?
Vipi zile simu za MOBITEL kubwa kama mche wa sabuni jee ulibahatika kuuning'iniza kwenye suruali yako?
Jee ile nauli ya sh100?
Hahahahahahaaa!
Dar ile bhana?
Vipi wale wasanii wa manzese na congo wa kufungia tambala la deki badala ya nguo na mabox badala ya viatu?
Eheeee nimekumbuka,na vipi wle waganga wa kienyeji feki?anakutafunisha karatasi kisha anakwambia tema,mara ukiangalia unakuta nywele!!mweeeee nimerogwa duhhhhhh!
Vipi kiroba cha bhakresa(maji ya pakti sh50)uliyatumia weye?
Na wale waliokua wakiwakaba watu darajani manzese mchana jee?
Hahahahahahaaa.
Na vipi ile mitama ya VAN-DAME iliyokua ikipigwa na madogo wa tandika?maana anakupiga mtama ukienda juu na kujipiga chini kama gunia la mahindi unakuta umeshasafishwa kila kitu mfukoni na aliyekupiga mtama kishatembea.
Na vipi wakati Makamba anasumbuana na Matonya?
Na vipi kipindi cha "MAMBO HAYO"ITV?unamkumbuka ,Mama Bishanga,Seki,Bishanga,Dokii,Keth?vipi akina dr Cheni na Swebe?
Yaani siku hizi dar imepoooooooooa lol!
Hehehehehehee!
Unaikumbuka Twanga pepeta ya Ally Choki na akina Rwiza Mbutu weye?Vipi T.O.T ya Banza Stone?Jee African revolution ya Muumini Mwinjuma na Badi Bakule mtoto wa Mabibo,Rashid Mwezingo?
Jee Fadhila kwa wazazi na kisiki cha mpingo ya mchinga sound chini yake Rogart Hega Caterpillar huku ikiwa inadhaminiwa na Mudhihili Mudhihili mbunge wa zamani wa mchinga?
Hiyo ndiyo iliyokua Dar bhana!!
Aya fungukeni bila kupepesa.