Siku ya kwanza dadii excel alipofika ughaibuni...

Kijana huyu kosa lake ni mmoja tuu tena dogo ni elimu tu basi
 
hii ilitokea mahali kweli kabisa nilicheka mno halafu jamaa mwenyewe alikuwa anajifanya much know
 
Hahaha Excel kashfa heavy hii! Duh.
kweli town hakuna mwenyeji, ilipofunguka im sure alivua viatu
 
Last edited by a moderator:
Hahaha Excel kashfa heavy hii! Duh.
kweli town hakuna mwenyeji, ilipofunguka im sure alivua viatu

hapa kweli nimeaibishwa king'asti.. dah!

ujue hivi vitu bana kama hujawahivitumia.. bora uombe msaada tu! lol.

aibu!
 
hii ilitokea mahali kweli kabisa nilicheka mno halafu jamaa mwenyewe alikuwa anajifanya much know
inatia aibu eeenh! halafu akishagonga hivyo unamwambia wenyewe hawapo! lols.
 
Teh teh huyo jamaa amefanana na jirani yangu
 
hmm! mwanangu haka kapicha bado unako? lol.

sasa hivi nimeshakuwa bonge la janjaro mwenzio! lol.

Hahahaaaaa Dadiiii.... izo picha za zamani ndo ninazo, za kijanja sina etiii..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…