Siku ya kuzaliwa

Siku ya kuzaliwa

ISLETS

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2012
Posts
8,118
Reaction score
5,368
Habari zenu wanajamvi?

Najua watu wengi wanapenda kusherehekea siku zao za kuzaliwa, si mbaya japo japo kiuhalisia ni tarehe tu na mwezi ndio vinakuwa vimefanana ila siku si ileile.

Humu ningependa tuandike tarehe na mwezi wa kuzaliwa ili tujue kina nani wana-share birthday ukiona mtu mmefanana naye birthday please m-quote ili naye ajue.
 
naanza mwenyewe...

september 9
 
Uzi kama huu upo humu kitambo sana
 
Back
Top Bottom