Wale wanaoshiriki tendo la kujamiiana bila kuchukua tahadhari ya kinga dhidi ya mimba zisizotarajiwa....
Halafu binti anasubiri azae mtoto amtupe chooni au kumtelekeza kanisani au msikitini au kuacha kujitoa kwa kumpatia mtoto malezi stahiki.....
Na wanaume kukataa na kukwepa kulea watoto kisa starehe ya kula nyama kwa nyama na kukojolea ndani.....
Haki mnasababisha mtoto atayezaliwa akose haki ya malezi ya baba na mama. Mungu anawaona na mtapata malipo yenu kabla hamjarudi kuramba udongo/ardhi.
Wako wanaopatana na kuanza kulea pamoja halafu baadae kwa kuendekeza hisia wafanya watoto wanaozaa walelewe na bibi au babu au singo maza au singo faza na wengine kusababisha watoto wa mitaani na wengine kuacha watoto walelewe na ndugu tuu.....
Nyieeeee....... jicho la Muumba halitawaacha salama.
Sijui kwanini nimeandika hivi ila kuna inayemuhusu hii, kubali kupona kwa kubadilika.