Siku ya kifo

Ni siku ambayo utatamani uachiwe japo kidogo uandike wosia, naam haitawezekana hata kupata kikombe cha maji
 
Maskini wee inamaanisha hao wanaofanya hivyo hawana watoto
 
Kwa sisi waafrika tulivyo, unaweza kukuta jamaa kafumaniwa na mke wa afande
 
Yaani hawa watu nawakabidhi kwa shetani tu maana mungu ni mwema atawasamehe
 
Hapo ni balaa zito na hapatiliki mguu hata kama anaepigwa unamjua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…