Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,120
- 52,886
Neno moja kwa hedhi tafadhali
Tumekuta wazee wetu wakiishika MIIKO ya kutoongelea hayo mambo HADHARANI....wala si kwa ubaya....bali ni ile heshima apewayo mtoto wa kike na Mambo yake...na ambaye ndiye MAMA MZAZI WA JAMII YETU......Tukiwa tunaadhimisha siku ya hedhi duniani mojawapo ya Jambo ambalo ningependa kulizungumzia ni uelewa wa wanaume juu ya matumizi sahihi ya taulo za kike au ped /sanitary pad.
Je wewe kama mwanaume unafahamu taulo za kike?
Je huwa unahakikisha mwanao wa kike au mwanamke yoyote wa karibu yako anapata hedhi salama kwa kumnunulia pedi? Au Bado uko na mentality kwamba huwezi shika ped?
Unafahamu pedi gani? Zitaje.
Je ulishawahi kuona hedhi? Ulijiskiaje?
Neno moja kwa hedhi tafadhali
Pole Sana .huwa unapata mateso gani haswa? Na umechukua hatua za kuwaona wataalamu??Mateso
NdioTukiwa tunaadhimisha siku ya hedhi duniani mojawapo ya Jambo ambalo ningependa kulizungumzia ni uelewa wa wanaume juu ya matumizi sahihi ya taulo za kike au ped /sanitary pad.
Je wewe kama mwanaume unafahamu taulo za kike?
NdioJe huwa unahakikisha mwanao wa kike au mwanamke yoyote wa karibu yako anapata hedhi salama kwa kumnunulia pedi?
Hapana, naishika kama kawaida tena nainunua kutoka DukaniAu Bado uko na mentality kwamba huwezi shika ped?
NdioUnafahamu pedi gani? Zitaje.
NdioJe ulishawahi kuona hedhi?
Kawaida kabisaUlijiskiaje?
Neno moja kwa hedhi tafadhali
Asante mkuu.kwaiyo wewe dukani huendi kununua pedi?Tumekuta wazee wetu wakiishika MIIKO ya kutoongelea hayo mambo HADHARANI....wala si kwa ubaya....bali ni ile heshima apewayo mtoto wa kike na Mambo yake...na ambaye ndiye MAMA MZAZI WA JAMII YETU......
Ila kwa kuwa ZAMA ZIMEBADILIKA hasa kwetu wa mijini basi nami ninaijua "STAY FREE MAXI ,STAY FREE SECURE" n.k kwani baadhi yetu tuishivyo si 100pc walivyoishi MABABU ZETU though kuna mambo we still take as a taboo kidogo, irrespective of our academic excellences!
#MtotoWaKikeNiMAMA
#MwanamkeNiMAMA
#MamaNiNguzoImaraYaJamii
#TusomesheWatotoWaKike
Kwa nini?Mateso
Maduka ya mtaani SIENDI KUNUNUA🤣🤣Asante mkuu.kwaiyo wewe dukani huendi kununua pedi?
Asante na hongera kwa kuwa mwanaume boraNdioNdioHapana, naishika kama kawaida tena nainunua kutoka DukaniNdio
Softcare, Freestyle, Always n.kNdioKawaida kabisa
Hedhi sio ugonjwa wala ulemavu, ni hali ya kimaumbile kwa mwanamke aliyoumbwa nayo.
Tuhakikishe kwa pamoja mwanamke anapata mahitaji yote wakati wa hedhi ili kuimarisha afya yake
Pole Sana .huwa unapata mateso gani haswa? Na umechukua hatua za kuwaona wataalamu??
Kwa nini?
Kwani unahisi Ni Nini?Sijawahi kushika pedi na siitaji kuona maan hamu na huyo mwanamke itakata ndani ya sekunde -0
Ahsante kwa creditAsante na hongera kwa kuwa mwanaume bora
Bado wewe bikra au umeshazaa?Huwa naumwa sana tumbo na kiuno siku ya kwanza na ya pili
Hakuna kitu nachofanya kwasababu mie ni mgumu sana kutumia dawa yoyote,najua baada ya siku mbili nakuwa sawa
Uterus inataka mtoto hiyo.....🤣🤣Huwa naumwa sana tumbo na kiuno siku ya kwanza na ya pili
Hakuna kitu nachofanya kwasababu mie ni mgumu sana kutumia dawa yoyote,najua baada ya siku mbili nakuwa sawa
Wewe Ni baba Bora aisee .likauzu langu nilikituma pedi halileti.Ahsante kwa credit
Hata kama unakuwa sawa baada ya hizo siku, hapo kuna tatizo.Huwa naumwa sana tumbo na kiuno siku ya kwanza na ya pili
Hakuna kitu nachofanya kwasababu mie ni mgumu sana kutumia dawa yoyote,najua baada ya siku mbili nakuwa sawa
Mzee wa fursa taratibuUterus inataka mtoto hiyo.....[emoji1787][emoji1787]