Ndoa ni mkataba na mkataba hautakiwi uwe na uongo au coercion. Wewe ndio utaamua uendelee na mkataba feki au machine naoSiku ya harusi yako jioni ile mpo ukumbini sherehe ishaisha, watu wakiwa wanaagana unaitwa na Kaka zake mke wako, Wakat huo wamewashika watoto wawili mkono, Unapelekwa kando then unaambiwa “Shemeji, mdogo wetu aliteleza kdg akiwa chuo Lakini sisi tutasomesha hawa watoto wenyewe”. View attachment 3685631
Fresh tu kwani kitanda kinazaa haramu? Unajipongeza tu baada ya mwezi na wewe unatundika daruga maisha mengine yanaendelea tumetumwa kuijaza dunia na sio vinginevyo“Shemeji, mdogo wetu aliteleza kdg akiwa chuo Lakini sisi tutasomesha hawa watoto wenyewe”.
Binafsi siwezi kubali huo ujinga kwanini sikuambiwa kabla?Siku ya harusi yako jioni ile mpo ukumbini sherehe ishaisha, watu wakiwa wanaagana unaitwa na Kaka zake mke wako, Wakat huo wamewashika watoto wawili mkono, Unapelekwa kando then unaambiwa “Shemeji, mdogo wetu aliteleza kdg akiwa chuo Lakini sisi tutasomesha hawa watoto wenyewe”. View attachment 3685631
Wakifanya kuniletea mtoto siku baada ya ndoa wanathibitisha hata wao ni wahuni kama ndgu yao tu. Nami nitalipa uhuniHilo haliwezi tokea, kama wameamua kuficha wataficha hivyo hivyo ila kama wameamua kukuambia watakuambia wakati unapeleka mahari ili ujue kama unasuka au kunyoa
Yap wanakuwa wahuni kabisaWakifanya kuniletea mtoto siku baada ya ndoa wanathibitisha hata wao ni wahuni kama ndgu yao tu. Nami nitalipa uhuni