Siku ya Daddy duniani

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,758
Reaction score
9,592
Habarini wanajamvi wenzangu

Nimefurahia kujua kuwa jana kuamikia leo ni siku ya daddy duniani hebu rafiki toa maoni yako kuhusu yale mema au mabaya ambayo baba yako alikufanyia na mpongeze kwa kuwa nawe siku zote alizokulea na kukuleta duniani na ukawa naye kwa raha na shida.

Kuna baadhi ya marafiki zangu hapa hawana madaddy wao labda kwa namna moja ama nyingine Mungu aliwachuukua au labda walikataliwa na madaddy waoau vyovyote vile ilivyotokea.

Kumbuka mema ambayo daddy alikufanyia basi ni vyema ukampa shukrani kwa yale aliyokufanyia wewe mtoto wake.

Nasi watoto ( Passion Lady, Lady doctor, charminglady, FirstLady, sweetlady WiseLady) hapa jamvini tunamtakia mema, uhai na upendo daddy watu8 Mungu amlinde dhidi ya maadui watenda mabaya na ampe afya njema .

Nawe rafiki mtakie mema daddy yako hapa leo

TUMA SALAMU KWA DADDY YAKO.



HII NI ZAWADI YETU KWAKO POKEA DADDY watu8

 
Hii siku haijulikani sana kwa wengi .shukrani kwa kutukumbusha.
Nakutakia maisha marufuku baba Mungu na akuongezee siku za kuishi
 
Asante sana kwa salamu za upendo, nilikuwa mbali kwenye shughuli za kidadi ndio maana nimechelewa kujibu hii
 
usijali daddy najua ubize wa kututafutia ugali ndo maana hujaonekana
mama anaendeleaje? maana mm niko mbali naye
Asante sana kwa salamu za upendo, nilikuwa mbali kwenye shughuli za kidadi ndio maana nimechelewa kujibu hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…