Niliumia sana,nililia na kulia nilichanganyikiwa wiki nzima nilikuwa naona kama dunia imenizunguka,tokea hapo sijawahi kupenda tena,baade niliolewa na mwanaume ili kutimiza wajibu,niko kwenye ndoa ni miaka 16 sasa,siumii kw a chochote alale nje,Sawa arudi ucku wa manane sawa,acheat atakavyo Niko sawa ila huwa namuonea huruma sana mime wangu kwani ananipenda kupita kawaida.ndoa yangu ni ya amani kwa sababu simfuatilii na kwa sababu sina upendo wa dhati