heheee",... hiyo hali haijawahi nifika',when nilipoachana na. manzi niliyempenda" huwa nina katabia Fulani hivi" nikiona mwenzangu" ameanza kuwa navijitabia fulani hivi vya usaliti basi taa nyekundu huwa inaniwaka kichwaniAisee ilee siku napokea msg toka kwa shemeji yenu tuachane baada ya kusumbuana kwa muda mrefu Sana nilionaa Kama Gizaa hivii afuu nkataka kudondokaa ikabdi nikaee kitandanii Kwanzaa...! Yale maumivu Mungu ndo anajua..
Ulikuwa na hali gani siku umeachana na mpenzi wako?????
Ilikuwa ndo first love kipindi hicho ninae mmoja tuu...!! Kujikutaa loyal khaaaa nlinyooshwamnaong'ang'ania mpaka mnaachwa acha muumie, tena hasa wanaume, unaona kabisa sehemu ulipo siko, unakazana kubembeleza kana kwamba huoni wengine mpaka siku upewe za uso
Ndipo ulipokosea mdogo wangu...naamin next tym hutokosea tenaHaa ha ha...Mkuu hata me niliumiaa coz nilikuwa naee mmojaa tuu
Akili mingiheheee",... hiyo hali haijawahi nifika',when nilipoachana na. manzi niliyempenda" huwa nina katabia Fulani hivi" nikiona mwenzangu" ameanza kuwa navijitabia fulani hivi vya usaliti basi taa nyekundu huwa inaniwaka kichwani
.
.huwaga sisubiri mpaka niachwe" bali natengeneza mazingira ya kuachana ili tutoke ngoma draw" ... Huwa nakaa kimtego mtego" Asipo nipigia na mimi simpigii" Asipo nitext na mimi simtext"... nikimtafuta hewani mara 1 then ikawa ha-respond basi sijishughulishi kumtafuta tena" mpaka atakapo nitafuta yeye" cause missed call yangu siameiona bwana".... ikitokea akapiga kimya kwa muda wa siku 3,.. basii nafuta namba yake kabisaa' ili nisije pata mshawasha wakumpigia"...
that's all
Ahahahaaaa ukashauliwa ulienililewa saaanaaaa
sijawahi kulewa kama vile
nikashauriwa nilie
nikalia sana
machozi yakatoka na sumu ya kuachwa
story zetu zinafanana vip tukitoka kwa dinner msupuuSikumbuki kuambiwa tuachane ila aliacha kupokea simu bila sababu. Nilivyokuaa nampenda yule kaka Nilijua maisha yamefika Mwisho. Nililia nikalia na nikalia tena.
Akaondoka na mapenzi yangu. Mpaka sasa ni miaka mitatu sijawahi kupenda tena
Umepita mule mule! Ukiona dalili za mawingu tu unaandaa mwamvuli kabisa maana mvua inaweza nyesha muda wowoteheheee",... hiyo hali haijawahi nifika',when nilipoachana na. manzi niliyempenda" huwa nina katabia Fulani hivi" nikiona mwenzangu" ameanza kuwa navijitabia fulani hivi vya usaliti basi taa nyekundu huwa inaniwaka kichwani
.
.huwaga sisubiri mpaka niachwe" bali natengeneza mazingira ya kuachana ili tutoke ngoma draw" ... Huwa nakaa kimtego mtego" Asipo nipigia na mimi simpigii" Asipo nitext na mimi simtext"... nikimtafuta hewani mara 1 then ikawa ha-respond basi sijishughulishi kumtafuta tena" mpaka atakapo nitafuta yeye" cause missed call yangu siameiona bwana".... ikitokea akapiga kimya kwa muda wa siku 3,.. basii nafuta namba yake kabisaa' ili nisije pata mshawasha wakumpigia"...
that's all
Pole Bae.Sikumbuki kuambiwa tuachane ila aliacha kupokea simu bila sababu. Nilivyokuaa nampenda yule kaka Nilijua maisha yamefika Mwisho. Nililia nikalia na nikalia tena.
Akaondoka na mapenzi yangu. Mpaka sasa ni miaka mitatu sijawahi kupenda tena