Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 734
AMEN AMEN AMENMhe Lissu anaendelea vizuri. Wanaoeneza haya ni wale wale wanaochekelea na kumuomba Mungu kusitisha maisha yake. Mhe Lissu amekuwa ktk operation mbalimbali za kuunga mifupa ya mkono na miguu. Ktk hali hiyo dawa za usingizi na za kupunguza maumivu zimekuwa zikitumika. Madaktari wametoa ushauri apumzike muda wa kutosha. Unategemea mgonjwa wa aina hii akae ktk wodi ya kawaida? Lissu ataishi kwa uwezo wa Mungu na wote waliohusika na haya watawekwa hadharani ni swala la muda tu.
Sent using Jamii Forums mobile app