Siku wife alipokuta condom kwenye suruali!

Kondomu kwenye mfuko ni uzembe! Hivyo vitu una dispose hata kama hujarudi nyumbani hata kama hukufanikiwa. Niliwahi kupatwa na mkasa wa kuita jina la msichana wetu wa kazi wakati tupo kitandani ''tunapasha viungo'' na mke wangu. Lakini si kwamba nilikuwa nimetembea nae kweli.. hapana. Ulimi uliteleza tu kwa sababu nimezoea kumwita sana kama nataka kumtuma nk. Halafu jina lake linaanzia na herufi kama la mke wangu. Mke wangu hakuniamini kama nimekosea akaanza kuzoza..
Kitumbua kikaingia mchanga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom