Siku Walimu tutakapojitambua

Siku Walimu tutakapojitambua

Shi

Shida mawasiliano
Zama hizi za kidigitali huwezi shindwa kupata namba ya mtetezi ambaye amejitoa kuwasadia nyie walimu kama mh Mchengerwa.Jaribu kuiomba au kuwaomba walimu wenzio wakuombee kwenye magroup ya Chama cha kulinda na kutetea walimu (chakuhawata)kule jua halitazama utakuwa imeipata.Hao Siwitiii wako hapo si kwa ajili ya maslahi yako wapo kwa ajili ya kujineemesha wao na familia zao . Unakatwa huku unaumia pole na pambana mpaka utoke

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
JIKITE KWENYE PROFESSIONALISM UTAWASAIDIA

98% YA PRIMARY SCHOOL TEACHERS SIO PROFESSIONAL

WATAONGEA NINI? ATAJITETEA NINI? HAKI ZAO HAWAZIJUI?

AKIMILIKI NYUMBA TU ANAONA KAMALIZA KILA KITU.
 
Mwalimu akienda kusimamia mtihani
Yupo radhi asombwe na maji walau 60k isimpite

#Utani
FB_IMG_1700684694091_1.jpg
 
Mwalimu ni mtu anayesaidia wengine/jamii kupata ujuzi, maarifa na tunu katika Nyanja mbalimbali zinazohusu jamii au ulimwengu/dunia. Na majukumu ya mwalimu yanaweza kutofautiana kadiri ya utamaduni husika katika nchi.

Kwa taifa la Tanzania mwalimu amechukuliwa kama shimo la katakata katika fikra fikirishi katika ujenzi wa maendeleo na ustawi wa jamii kwa taifa zima. Ndio maana hata matokeo ya mitihani mbalimbali hasa hasa ya kidato cha nne na sita ya kitangazwa mwanafunzi wa jamii husika anaulizwa umefeli hata alama ya kwenda kusoma ualimu huna? Lakini sio walimu wote wamekuwa walimu kwa sababu ya matokeo mabaya wa mitihani yao bali ni wito na kazi kama kazi nyingine.

Hii yote imetokana na taswira iliyojengwa na taifa letu kwa jamii kuhusu kazi/kada ya ualimu na imepelekea hata viongozi wa ngazi zote serikalini kujenga tamaduni ya kutowajali au kuthamini kada ya ualimu, ndio maana matamko ya kejeli na dharau yote ni ya walimu LAKINI na WAO NI CHIMBUKO LA MWALIMU DHARAULIWA.

Kuna kila sababu ya kuwa na walimu bora ili nao watoe elimu bora katika taifa letu.

Mwaka 1960 miaka mitatu baada ya kupatikana kwa Uhuru wa Ghana, aliyekuwa Rais wakati huo alipeleka bungeni mswada wa sheria ya kuwaongezea mshahara walimu, alisema “Naomba mniunge mkono ndugu wabunge katika hoja ya kupanga mshahara wa walimu wetu’’ anaendelea kusema “Mimi binafsi ni nimelazimika kuja bungeni kuhutubia kwa lengo moja la kuifanya Ghana iwatambue walimu na kuwapa mshahara unaoonyesha umuhimu wao kwa taifa hili. Mimi naamini kwa sababu sioni kama kuna namna unayoweza kutofautisha walimu wa Ghana na hatima au mustakabali wa Ghana’’ hii ni tofauti kidogo na taifa letu kila kukicha miswada iyopelekwa bungeni ni kwa ajili ya kupunja maslahi ya walimu na kuanzisha mifuko kandamizi kama CWT na umuhimu wa mwalimu unaonekana katika kazi zisizokuwa na maslahi kwao kwani tumejengwa katika uzalendo mfilisi kwa maslahi hayo tu.

Kwa mfano usimamizi wa uchaguzi katika ngazi zote (mitaa na uchaguzi mkuu) chaguo lao ni mwalimu na hii inapelekea walimu kuonekana siku zote za utumishi wetu kuwa shimo la TAKATAKA (garbage) katika jamii na kwa viongozi wetu kwani dharau inaoneshwa kupitia ahadi za uongo na ongezeko la shilingi elfu tisa(9,000/=) kwa mwaka. JITAMBUE

Lakini mwalimu anatumia zaidi ya nusu ya muda wake kujiandaa na kuandaa namna ya kumfinyanga mwanafunzi wake ili baadaye tuwe na kizazi bora na viongozi bora zaidi. Ili hili litokee, lazima mwalimu awekwe katika mazingira yanayofaa na yeye afae kwa majukumu anayokabidhiwa sio ahadi za uongo na kejeli juu yetu KUTOKA KWA UZAO WA MIKONO YETU NA JUHUDI ZETU.

Kutokana na kejeli hizo na ahadi za uongo leo kazi ya ualimu haivutii tena; kama leo watoto wa walimu hawatamani kazi ya wazazi wao, kama leo hii asilimia 70 ya walimu wanatamani kuacha kazi, tuna nini cha kujivunia katika taifa letu kama sehemu ya kuleta maendeleo katika taifa letu? Kazi ya kutengeneza taifa bora siyo kazi ndogo.

Na taifa bora litatengenezwa endapo wanaotengeneza watapunguziwa kejeli, dharau na ahadi za uongo na kama tutaendelea kuona elimu ni elimu kwa kushindwa kuthamini na kuwekeza kwa walimu siku chache zijazo tutanunua kila kitu na kutengeneza taifa la kejeli juu ya kada ya ualimu. Kumbuka Rais, Waziri Mkuu na wengine wengi ni kazi ya mikono yetu.

TAMBUA THAMANI YA MIKONO YAKO NA JUHUDI ZAKO
Umeongelea issue ya uchaguzi hakuna anaelazimishwa kusimamia ni hiari ukitaka unaomba sasa tumuone huruma mtu kwa kazi aliomba mwenyew
Pia issue ya salary wapo walimu wanalipwa vizuri tu tatizo ni malengo yao na tatizo la walimu ni hakuna issue za semina kama kada zingine lakini wanaofanya kazi local goverment mishahara inafanana labda wakuu wa idara tu sasa sujui kwann kila siku walimu walimu
 
Siku entrance qualifications kwenye ualimu itakapobadilishwa Na kuwa....Ni lazima ufaulu Kwa daraja la kwanza ndio upate udahili ndio heshima ya hii kada itarudi. Wewe mtu ana D nne unampaje majukumu ya kuelimisha taifa? Wako inferior Kwa sababu wengi hudhani na (ndio ukweli) kwamba wamepata hizo Ajira kama fadhira!
Tatizo wala sio ufaulu kwasababu mtu yoyote akielimika anaweza kumuelimisha mwingine.Tatizo ni namna tulivyozigrade hizi taaluma kwenye nchi yetu.Taaluma ya ualimu imewekwa ya mwisho kabisa na wao wakakubali hiyo hali ndo maana nchi hii ata lecture/profesa wa chuo kikuu hana heshima yoyote ya maana kuliko diwani wa darasa la saba au mtendaji wa kijiji.Kwahiyo tatizo ni siasa zetu.Siasa zimejiweka juu alafu zikaacha hizi tasnia zingine zijipange zenyewe uko chini mwalimu akajikuta wa mwisho kwasababu alikubali kirahisi kutumiwa kama daraja na siasa iliyojitengenezea daraja la hadhi ya juu.Sio rahisi kuelewa hii kitu kwasababu iko ndani ya mfumo ila ndio uhalisia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwalimu ni mtu anayesaidia wengine/jamii kupata ujuzi, maarifa na tunu katika Nyanja mbalimbali zinazohusu jamii au ulimwengu/dunia. Na majukumu ya mwalimu yanaweza kutofautiana kadiri ya utamaduni husika katika nchi.

Kwa taifa la Tanzania mwalimu amechukuliwa kama shimo la katakata katika fikra fikirishi katika ujenzi wa maendeleo na ustawi wa jamii kwa taifa zima. Ndio maana hata matokeo ya mitihani mbalimbali hasa hasa ya kidato cha nne na sita ya kitangazwa mwanafunzi wa jamii husika anaulizwa umefeli hata alama ya kwenda kusoma ualimu huna? Lakini sio walimu wote wamekuwa walimu kwa sababu ya matokeo mabaya wa mitihani yao bali ni wito na kazi kama kazi nyingine.

Hii yote imetokana na taswira iliyojengwa na taifa letu kwa jamii kuhusu kazi/kada ya ualimu na imepelekea hata viongozi wa ngazi zote serikalini kujenga tamaduni ya kutowajali au kuthamini kada ya ualimu, ndio maana matamko ya kejeli na dharau yote ni ya walimu LAKINI na WAO NI CHIMBUKO LA MWALIMU DHARAULIWA.

Kuna kila sababu ya kuwa na walimu bora ili nao watoe elimu bora katika taifa letu.

Mwaka 1960 miaka mitatu baada ya kupatikana kwa Uhuru wa Ghana, aliyekuwa Rais wakati huo alipeleka bungeni mswada wa sheria ya kuwaongezea mshahara walimu, alisema “Naomba mniunge mkono ndugu wabunge katika hoja ya kupanga mshahara wa walimu wetu’’ anaendelea kusema “Mimi binafsi ni nimelazimika kuja bungeni kuhutubia kwa lengo moja la kuifanya Ghana iwatambue walimu na kuwapa mshahara unaoonyesha umuhimu wao kwa taifa hili. Mimi naamini kwa sababu sioni kama kuna namna unayoweza kutofautisha walimu wa Ghana na hatima au mustakabali wa Ghana’’ hii ni tofauti kidogo na taifa letu kila kukicha miswada iyopelekwa bungeni ni kwa ajili ya kupunja maslahi ya walimu na kuanzisha mifuko kandamizi kama CWT na umuhimu wa mwalimu unaonekana katika kazi zisizokuwa na maslahi kwao kwani tumejengwa katika uzalendo mfilisi kwa maslahi hayo tu.

Kwa mfano usimamizi wa uchaguzi katika ngazi zote (mitaa na uchaguzi mkuu) chaguo lao ni mwalimu na hii inapelekea walimu kuonekana siku zote za utumishi wetu kuwa shimo la TAKATAKA (garbage) katika jamii na kwa viongozi wetu kwani dharau inaoneshwa kupitia ahadi za uongo na ongezeko la shilingi elfu tisa(9,000/=) kwa mwaka. JITAMBUE

Lakini mwalimu anatumia zaidi ya nusu ya muda wake kujiandaa na kuandaa namna ya kumfinyanga mwanafunzi wake ili baadaye tuwe na kizazi bora na viongozi bora zaidi. Ili hili litokee, lazima mwalimu awekwe katika mazingira yanayofaa na yeye afae kwa majukumu anayokabidhiwa sio ahadi za uongo na kejeli juu yetu KUTOKA KWA UZAO WA MIKONO YETU NA JUHUDI ZETU.

Kutokana na kejeli hizo na ahadi za uongo leo kazi ya ualimu haivutii tena; kama leo watoto wa walimu hawatamani kazi ya wazazi wao, kama leo hii asilimia 70 ya walimu wanatamani kuacha kazi, tuna nini cha kujivunia katika taifa letu kama sehemu ya kuleta maendeleo katika taifa letu? Kazi ya kutengeneza taifa bora siyo kazi ndogo.

Na taifa bora litatengenezwa endapo wanaotengeneza watapunguziwa kejeli, dharau na ahadi za uongo na kama tutaendelea kuona elimu ni elimu kwa kushindwa kuthamini na kuwekeza kwa walimu siku chache zijazo tutanunua kila kitu na kutengeneza taifa la kejeli juu ya kada ya ualimu. Kumbuka Rais, Waziri Mkuu na wengine wengi ni kazi ya mikono yetu.

TAMBUA THAMANI YA MIKONO YAKO NA JUHUDI ZAKO
Rubbish! Watanzania wanaheshimu sana Walimu. Rais wao wa kwanza, na wa pili, na wa tano, ni Walimu. Shida yenu ni ubinafsi. Hicho chama chenu kimejaa mafusadi mnapigana na kushambuliana hazarani mnapoteza heshima. Mna Benki yenu, nzuri tu, mko karibu laki 4 kila mtu akifungua akaunti na kupitisha miamala yote huko itakuwa kubwa kuliko NMB na CRDB combined. And yet ubinsfsi unawatafuna hadi umeingia benki. Narudia, jamii ya Tanzania inaheshimu sana walimu. Clean your own house first.
 
Mimi ni mwalimu kwa miaka mingi,japo natamani nikajiendeleze kielimu ili nitoke huku kwenye kuhangaika na vitoto,natamani kuwa tutor/ lecturer baada ya ku- up grade elimu yangu,moja ya vitu vinavyonisukuma ni kuwa mwalimu ana mabos wengi sana kitu ambacho usipokuwa makini kila mtu anakukolomea,na mimi siko hivyo ni mbishi wa asili,kitu kingine sisi walimu ni wanafiki sana,elewa neno wanafiki,tunajipendekeza sana ili kwavurugia wenzetu,mimi siko hivyo,

Kingine nachukia sana CWT,sipendi kabisa kuona wanakata mshahara wangu,nimrjatibu kupambana ili nitolewe nimekwama
Kika siku unajipendekeza kwa ccm na wanasiasa uko ndiko kunakowafanya muonekane hamjitambui.Alafu wewe kwa ubinafsi ulionao unataka kujikomboa wewe mwenyewe uku ukiacha tatizo linaloigusa kada ya ualimu likiendelea kuwepo.Mko wengi lakini hamjielewi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kika siku unajipendekeza kwa ccm na wanasiasa uko ndiko kunakowafanya muonekane hamjitambui.Alafu wewe kwa ubinafsi ulionao unataka kujikomboa wewe mwenyewe uku ukiacha tatizo linaloigusa kada ya ualimu likiendelea kuwepo.Mko wengi lakini hamjielewi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mimi CCM ni chama changu,na ni mwanachama hai,nalipia ada kila mwaka,huwezi niambia niende chama pinzani ambao hawana dira,hawajui kipi wapambanie.

Unaniambia najipambania peke yangu,hao wenzangu ni kina nani,mimi ndo nilie waajiri,ulimwengu wa kibepari unadai mwenzangu!? Je wewe upatacho Huwa unagawana na nduguzo kwa kiwango sawa!?

Look very!!!
 
Walimu wa Tanzania 98% ni wajinga sn mpaka hata mishahara wanayolipwa mi naona ni mikubwa sn.
Mwalimu ni mtu anayesaidia wengine/jamii kupata ujuzi, maarifa na tunu katika Nyanja mbalimbali zinazohusu jamii au ulimwengu/dunia. Na majukumu ya mwalimu yanaweza kutofautiana kadiri ya utamaduni husika katika nchi.

Kwa taifa la Tanzania mwalimu amechukuliwa kama shimo la katakata katika fikra fikirishi katika ujenzi wa maendeleo na ustawi wa jamii kwa taifa zima. Ndio maana hata matokeo ya mitihani mbalimbali hasa hasa ya kidato cha nne na sita ya kitangazwa mwanafunzi wa jamii husika anaulizwa umefeli hata alama ya kwenda kusoma ualimu huna? Lakini sio walimu wote wamekuwa walimu kwa sababu ya matokeo mabaya wa mitihani yao bali ni wito na kazi kama kazi nyingine.

Hii yote imetokana na taswira iliyojengwa na taifa letu kwa jamii kuhusu kazi/kada ya ualimu na imepelekea hata viongozi wa ngazi zote serikalini kujenga tamaduni ya kutowajali au kuthamini kada ya ualimu, ndio maana matamko ya kejeli na dharau yote ni ya walimu LAKINI na WAO NI CHIMBUKO LA MWALIMU DHARAULIWA.

Kuna kila sababu ya kuwa na walimu bora ili nao watoe elimu bora katika taifa letu.

Mwaka 1960 miaka mitatu baada ya kupatikana kwa Uhuru wa Ghana, aliyekuwa Rais wakati huo alipeleka bungeni mswada wa sheria ya kuwaongezea mshahara walimu, alisema “Naomba mniunge mkono ndugu wabunge katika hoja ya kupanga mshahara wa walimu wetu’’ anaendelea kusema “Mimi binafsi ni nimelazimika kuja bungeni kuhutubia kwa lengo moja la kuifanya Ghana iwatambue walimu na kuwapa mshahara unaoonyesha umuhimu wao kwa taifa hili. Mimi naamini kwa sababu sioni kama kuna namna unayoweza kutofautisha walimu wa Ghana na hatima au mustakabali wa Ghana’’ hii ni tofauti kidogo na taifa letu kila kukicha miswada iyopelekwa bungeni ni kwa ajili ya kupunja maslahi ya walimu na kuanzisha mifuko kandamizi kama CWT na umuhimu wa mwalimu unaonekana katika kazi zisizokuwa na maslahi kwao kwani tumejengwa katika uzalendo mfilisi kwa maslahi hayo tu.

Kwa mfano usimamizi wa uchaguzi katika ngazi zote (mitaa na uchaguzi mkuu) chaguo lao ni mwalimu na hii inapelekea walimu kuonekana siku zote za utumishi wetu kuwa shimo la TAKATAKA (garbage) katika jamii na kwa viongozi wetu kwani dharau inaoneshwa kupitia ahadi za uongo na ongezeko la shilingi elfu tisa(9,000/=) kwa mwaka. JITAMBUE

Lakini mwalimu anatumia zaidi ya nusu ya muda wake kujiandaa na kuandaa namna ya kumfinyanga mwanafunzi wake ili baadaye tuwe na kizazi bora na viongozi bora zaidi. Ili hili litokee, lazima mwalimu awekwe katika mazingira yanayofaa na yeye afae kwa majukumu anayokabidhiwa sio ahadi za uongo na kejeli juu yetu KUTOKA KWA UZAO WA MIKONO YETU NA JUHUDI ZETU.

Kutokana na kejeli hizo na ahadi za uongo leo kazi ya ualimu haivutii tena; kama leo watoto wa walimu hawatamani kazi ya wazazi wao, kama leo hii asilimia 70 ya walimu wanatamani kuacha kazi, tuna nini cha kujivunia katika taifa letu kama sehemu ya kuleta maendeleo katika taifa letu? Kazi ya kutengeneza taifa bora siyo kazi ndogo.

Na taifa bora litatengenezwa endapo wanaotengeneza watapunguziwa kejeli, dharau na ahadi za uongo na kama tutaendelea kuona elimu ni elimu kwa kushindwa kuthamini na kuwekeza kwa walimu siku chache zijazo tutanunua kila kitu na kutengeneza taifa la kejeli juu ya kada ya ualimu. Kumbuka Rais, Waziri Mkuu na wengine wengi ni kazi ya mikono yetu.

TAMBUA THAMANI YA MIKONO YAKO NA JUHUDI ZAKO
Ni vyema ikaeleweka kwamba kujitambua sio kushabikia Chadomo.
 
Siku entrance qualifications kwenye ualimu itakapobadilishwa Na kuwa....Ni lazima ufaulu Kwa daraja la kwanza ndio upate udahili ndio heshima ya hii kada itarudi. Wewe mtu ana D nne unampaje majukumu ya kuelimisha taifa? Wako inferior Kwa sababu wengi hudhani na (ndio ukweli) kwamba wamepata hizo Ajira kama fadhira!
Nimekuelewa Sanaa
 
Back
Top Bottom