samsolo the great
JF-Expert Member
- Jul 9, 2021
- 762
- 1,102
Zama hizi za kidigitali huwezi shindwa kupata namba ya mtetezi ambaye amejitoa kuwasadia nyie walimu kama mh Mchengerwa.Jaribu kuiomba au kuwaomba walimu wenzio wakuombee kwenye magroup ya Chama cha kulinda na kutetea walimu (chakuhawata)kule jua halitazama utakuwa imeipata.Hao Siwitiii wako hapo si kwa ajili ya maslahi yako wapo kwa ajili ya kujineemesha wao na familia zao . Unakatwa huku unaumia pole na pambana mpaka utokeShi
Shida mawasiliano
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
