Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,676
- 126,840
GoodMashekhe waliochangamka
GoodMashekhe waliochangamka
Waalimu ni kama wanafunzi tu. Nilishakiwa kwenye kamati ya chakula kwenye tukio la kiserikali ambapo watumishi wa serikali walialikwa. Sitosahau walimu walikuwa wanagombana kwa sababu ya msosi, yaani ni vurugu mechi.
Sasa watu wa namna hii ni wa kuwadhibiti kipato, vinginevyo watafanya maajabu, serikali iliona hilo
Kuna mwalimu kaenda kusimamia mitihani mahali... Mvua zinanyesha gari limekwama mita kadhaa kutoka shuleni! Ikabidi aanze kubebeshwa maboksi ya mitihani kichwani... Yaani yeye anadondoka anaamka... kalowa kila kona ...viatu na soksi vimeenda na maji lakini boksi lipo salama kichwani...Acha kutudhalilisha ,sisi ndo tumefanya ujue kuandika huu upuuzi uliouandika,mbona hamsemi waandishi wa habari ambao hata akiwa na D 2 anaenda kusoma chuo na akishika kalamu ndo anakuwa kama wewe, waliopanga grade za kusoma ualimu ni wasomi wenye viwango vikubwa vya elimu kuzidi wewe,kuwa mstaarabu na kazi za wengine, maslai hatupangi walimu, usitusemange kisa una kipato kuliko mwl.
Wakijua kusema HAPANA watairudisha heshima yao.Mwalimu ni mtu anayesaidia wengine/jamii kupata ujuzi, maarifa na tunu katika Nyanja mbalimbali zinazohusu jamii au ulimwengu/dunia. Na majukumu ya mwalimu yanaweza kutofautiana kadiri ya utamaduni husika katika nchi.
Kwa taifa la Tanzania mwalimu amechukuliwa kama shimo la katakata katika fikra fikirishi katika ujenzi wa maendeleo na ustawi wa jamii kwa taifa zima. Ndio maana hata matokeo ya mitihani mbalimbali hasa hasa ya kidato cha nne na sita ya kitangazwa mwanafunzi wa jamii husika anaulizwa umefeli hata alama ya kwenda kusoma ualimu huna? Lakini sio walimu wote wamekuwa walimu kwa sababu ya matokeo mabaya wa mitihani yao bali ni wito na kazi kama kazi nyingine.
Hii yote imetokana na taswira iliyojengwa na taifa letu kwa jamii kuhusu kazi/kada ya ualimu na imepelekea hata viongozi wa ngazi zote serikalini kujenga tamaduni ya kutowajali au kuthamini kada ya ualimu, ndio maana matamko ya kejeli na dharau yote ni ya walimu LAKINI na WAO NI CHIMBUKO LA MWALIMU DHARAULIWA.
Kuna kila sababu ya kuwa na walimu bora ili nao watoe elimu bora katika taifa letu.
Mwaka 1960 miaka mitatu baada ya kupatikana kwa Uhuru wa Ghana, aliyekuwa Rais wakati huo alipeleka bungeni mswada wa sheria ya kuwaongezea mshahara walimu, alisema “Naomba mniunge mkono ndugu wabunge katika hoja ya kupanga mshahara wa walimu wetu’’ anaendelea kusema “Mimi binafsi ni nimelazimika kuja bungeni kuhutubia kwa lengo moja la kuifanya Ghana iwatambue walimu na kuwapa mshahara unaoonyesha umuhimu wao kwa taifa hili. Mimi naamini kwa sababu sioni kama kuna namna unayoweza kutofautisha walimu wa Ghana na hatima au mustakabali wa Ghana’’ hii ni tofauti kidogo na taifa letu kila kukicha miswada iyopelekwa bungeni ni kwa ajili ya kupunja maslahi ya walimu na kuanzisha mifuko kandamizi kama CWT na umuhimu wa mwalimu unaonekana katika kazi zisizokuwa na maslahi kwao kwani tumejengwa katika uzalendo mfilisi kwa maslahi hayo tu.
Kwa mfano usimamizi wa uchaguzi katika ngazi zote (mitaa na uchaguzi mkuu) chaguo lao ni mwalimu na hii inapelekea walimu kuonekana siku zote za utumishi wetu kuwa shimo la TAKATAKA (garbage) katika jamii na kwa viongozi wetu kwani dharau inaoneshwa kupitia ahadi za uongo na ongezeko la shilingi elfu tisa(9,000/=) kwa mwaka. JITAMBUE
Lakini mwalimu anatumia zaidi ya nusu ya muda wake kujiandaa na kuandaa namna ya kumfinyanga mwanafunzi wake ili baadaye tuwe na kizazi bora na viongozi bora zaidi. Ili hili litokee, lazima mwalimu awekwe katika mazingira yanayofaa na yeye afae kwa majukumu anayokabidhiwa sio ahadi za uongo na kejeli juu yetu KUTOKA KWA UZAO WA MIKONO YETU NA JUHUDI ZETU.
Kutokana na kejeli hizo na ahadi za uongo leo kazi ya ualimu haivutii tena; kama leo watoto wa walimu hawatamani kazi ya wazazi wao, kama leo hii asilimia 70 ya walimu wanatamani kuacha kazi, tuna nini cha kujivunia katika taifa letu kama sehemu ya kuleta maendeleo katika taifa letu? Kazi ya kutengeneza taifa bora siyo kazi ndogo.
Na taifa bora litatengenezwa endapo wanaotengeneza watapunguziwa kejeli, dharau na ahadi za uongo na kama tutaendelea kuona elimu ni elimu kwa kushindwa kuthamini na kuwekeza kwa walimu siku chache zijazo tutanunua kila kitu na kutengeneza taifa la kejeli juu ya kada ya ualimu. Kumbuka Rais, Waziri Mkuu na wengine wengi ni kazi ya mikono yetu.
TAMBUA THAMANI YA MIKONO YAKO NA JUHUDI ZAKO
Tatizo pekee la walimu ni kukubali kujifungamanisha na ccm!Mwalimu ni mtu anayesaidia wengine/jamii kupata ujuzi, maarifa na tunu katika Nyanja mbalimbali zinazohusu jamii au ulimwengu/dunia. Na majukumu ya mwalimu yanaweza kutofautiana kadiri ya utamaduni husika katika nchi.

The art of saying NO is non-existent if quality education isn't part of the process.Wakijua kusema HAPANA watairudisha heshima yao.
Umeongea sahihi kabisaWalimu wa Tanzania 98% ni wajinga sn mpaka hata mishahara wanayolipwa mi naona ni mikubwa sn.

We mke wa Benjamin Netanyahu, Walimu wa Gabon 'wenye akili nyingi' (kwa kujibu wako) wanalipwa mshahara know sana?Walimu wa Tanzania 98% ni wajinga sn mpaka hata mishahara wanayolipwa mi naona ni mikubwa sn.
Nursing na Pharmacy levels za certificate na diploma wanaenda kwa ufaulu upi? Hebu weka hapa. Maana najua Kuna watu wako kule hata sikutarajia kama walipaswa kuwa kule.Siku entrance qualifications kwenye ualimu itakapobadilishwa Na kuwa....Ni lazima ufaulu Kwa daraja la kwanza ndio upate udahili ndio heshima ya hii kada itarudi. Wewe mtu ana D nne unampaje majukumu ya kuelimisha taifa? Wako inferior Kwa sababu wengi hudhani na (ndio ukweli) kwamba wamepata hizo Ajira kama fadhira!
@Mpwayungu Village huyu nae alikuwepoWaalimu ni kama wanafunzi tu. Nilishakiwa kwenye kamati ya chakula kwenye tukio la kiserikali ambapo watumishi wa serikali walialikwa. Sitosahau walimu walikuwa wanagombana kwa sababu ya msosi, yaani ni vurugu mechi.
Sasa watu wa namna hii ni wa kuwadhibiti kipato, vinginevyo watafanya maajabu, serikali iliona hilo
Nchi hii walim wa miaka hii kujitambua ni ngum sana, wamemezwa na mfumo, ukitaka jua hili angalia kwenye halmashauri mbalimbali namna afisa elim anavyowapelekesha kama vile ndo mwajiri ,wakati mwajiri na MkurugenziMwalimu ni mtu anayesaidia wengine/jamii kupata ujuzi, maarifa na tunu katika Nyanja mbalimbali zinazohusu jamii au ulimwengu/dunia. Na majukumu ya mwalimu yanaweza kutofautiana kadiri ya utamaduni husika katika nchi.
Kwa taifa la Tanzania mwalimu amechukuliwa kama shimo la katakata katika fikra fikirishi katika ujenzi wa maendeleo na ustawi wa jamii kwa taifa zima. Ndio maana hata matokeo ya mitihani mbalimbali hasa hasa ya kidato cha nne na sita ya kitangazwa mwanafunzi wa jamii husika anaulizwa umefeli hata alama ya kwenda kusoma ualimu huna? Lakini sio walimu wote wamekuwa walimu kwa sababu ya matokeo mabaya wa mitihani yao bali ni wito na kazi kama kazi nyingine.
Hii yote imetokana na taswira iliyojengwa na taifa letu kwa jamii kuhusu kazi/kada ya ualimu na imepelekea hata viongozi wa ngazi zote serikalini kujenga tamaduni ya kutowajali au kuthamini kada ya ualimu, ndio maana matamko ya kejeli na dharau yote ni ya walimu LAKINI na WAO NI CHIMBUKO LA MWALIMU DHARAULIWA.
Kuna kila sababu ya kuwa na walimu bora ili nao watoe elimu bora katika taifa letu.
Mwaka 1960 miaka mitatu baada ya kupatikana kwa Uhuru wa Ghana, aliyekuwa Rais wakati huo alipeleka bungeni mswada wa sheria ya kuwaongezea mshahara walimu, alisema “Naomba mniunge mkono ndugu wabunge katika hoja ya kupanga mshahara wa walimu wetu’’ anaendelea kusema “Mimi binafsi ni nimelazimika kuja bungeni kuhutubia kwa lengo moja la kuifanya Ghana iwatambue walimu na kuwapa mshahara unaoonyesha umuhimu wao kwa taifa hili. Mimi naamini kwa sababu sioni kama kuna namna unayoweza kutofautisha walimu wa Ghana na hatima au mustakabali wa Ghana’’ hii ni tofauti kidogo na taifa letu kila kukicha miswada iyopelekwa bungeni ni kwa ajili ya kupunja maslahi ya walimu na kuanzisha mifuko kandamizi kama CWT na umuhimu wa mwalimu unaonekana katika kazi zisizokuwa na maslahi kwao kwani tumejengwa katika uzalendo mfilisi kwa maslahi hayo tu.
Kwa mfano usimamizi wa uchaguzi katika ngazi zote (mitaa na uchaguzi mkuu) chaguo lao ni mwalimu na hii inapelekea walimu kuonekana siku zote za utumishi wetu kuwa shimo la TAKATAKA (garbage) katika jamii na kwa viongozi wetu kwani dharau inaoneshwa kupitia ahadi za uongo na ongezeko la shilingi elfu tisa(9,000/=) kwa mwaka. JITAMBUE
Lakini mwalimu anatumia zaidi ya nusu ya muda wake kujiandaa na kuandaa namna ya kumfinyanga mwanafunzi wake ili baadaye tuwe na kizazi bora na viongozi bora zaidi. Ili hili litokee, lazima mwalimu awekwe katika mazingira yanayofaa na yeye afae kwa majukumu anayokabidhiwa sio ahadi za uongo na kejeli juu yetu KUTOKA KWA UZAO WA MIKONO YETU NA JUHUDI ZETU.
Kutokana na kejeli hizo na ahadi za uongo leo kazi ya ualimu haivutii tena; kama leo watoto wa walimu hawatamani kazi ya wazazi wao, kama leo hii asilimia 70 ya walimu wanatamani kuacha kazi, tuna nini cha kujivunia katika taifa letu kama sehemu ya kuleta maendeleo katika taifa letu? Kazi ya kutengeneza taifa bora siyo kazi ndogo.
Na taifa bora litatengenezwa endapo wanaotengeneza watapunguziwa kejeli, dharau na ahadi za uongo na kama tutaendelea kuona elimu ni elimu kwa kushindwa kuthamini na kuwekeza kwa walimu siku chache zijazo tutanunua kila kitu na kutengeneza taifa la kejeli juu ya kada ya ualimu. Kumbuka Rais, Waziri Mkuu na wengine wengi ni kazi ya mikono yetu.
TAMBUA THAMANI YA MIKONO YAKO NA JUHUDI ZAKO
Kama wewe ni mbishi na hupendi mshahara wako ukatwe na hiyo misiwitii umeshindwa vipi kupambana na afisa utumishi wako kwa kumkomalia liwe jua au mvua mpaka akutoe?Kama wewe ni mwamba na unajiamini fikisha malalamiko yako kwa RAS nako wakishindwa kukusaidia mwamba Mchengerwa anakusubiri Dodoma umpelekee hiyo kero au mpigiea simu uone hapo halmashauri kama patakalika.Unachotaka kufanyiwa ni haki yako kisheria isipokuwa hao maafisa utumishi wanapewa rushwa na siwitiii.Wake upMimi ni mwalimu kwa miaka mingi,japo natamani nikajiendeleze kielimu ili nitoke huku kwenye kuhangaika na vitoto,natamani kuwa tutor/ lecturer baada ya ku- up grade elimu yangu,moja ya vitu vinavyonisukuma ni kuwa mwalimu ana mabos wengi sana kitu ambacho usipokuwa makini kila mtu anakukolomea,na mimi siko hivyo ni mbishi wa asili,kitu kingine sisi walimu ni wanafiki sana,elewa neno wanafiki,tunajipendekeza sana ili kwavurugia wenzetu,mimi siko hivyo,
Kingine nachukia sana CWT,sipendi kabisa kuona wanakata mshahara wangu,nimrjatibu kupambana ili nitolewe nimekwama![]()
Shida mawasilianoKama wewe ni mbishi na hupendi mshahara wako ukatwe na hiyo misiwitii umeshindwa vipi kupambana na afisa utumishi wako kwa kumkomalia liwe jua au mvua mpaka akutoe?Kama wewe ni mwamba na unajiamini shikisha malalamiko yako kwa RAS nako wakishindwa kukusaidia mwamba Mchengerwa anakusubiri Dodoma umpelekee hiyo kero au mpigiea simu uone hapo halmashauri kama patakalika.Unachotaka kufanyiwa ni haki yako kisheria isipokuwa hao maafisa utumishi wanapewa rushwa na siwitiii.Wake up
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Ni kweli hao walimu licha ya mambo ya ovyo wanayoyakubali kutoka kwa viongozi uchwara ambapo imefika mahali wanaamurishwa wachangie mpaka mbio za mwenge kwenye halmashauri zao walimu hawana mandate yoyote ya kuweza kuchakachua matokeo ya uchaguzi.Uhuni huo hufanyika kuanzia ngazi ya halmashauri ambako kuna mteule wa mgombea wa sisiyemu ambaye ajabu na kweli ndiye msimamizi wa huo uchaguzi ngazi ya jimboHizi porojo za Walimu kutumiwa kuhujumu Chaguzi naona zimezidi na zinaletwa na wapuuzi wasio na ABC zote za namna wizi unavyofanyika. Ninachoshangaa ni makundi mengine kutolaumiwa kwa jambo hilo?
Viongozi wa Upinzani wanajua wanaowahujumu sana kwenye Chaguzi ni hawa wafuatao. Na hutasikia wamemlaumu Mwalimu hapo.
1.Ti Ai SS.
2.Jeshi la Wananchi wa Yanga - rejea kule Zanzibar (Walimu hawakutajwa kabisa)
3.Geshi la Polish.
4.Wakurugenzi wa Halmashauri.
Kwahiyo basi, wenye kushinikiza huo uhuni wanafurahi sana wanapoona lawama zenu mnazipeleka off target. Wapinzani huhesabu kura pure kutoka moja kwa moja vituoni, ambalo wizi unakuwa haujafanyika (anakosimamia Mwalimu). Ila wizi unaanza kufanyika kwenye compiling stations (centers) ambako Mwalimu hayupo. Kumbukeni: January Mamba hakucheza mchezo na Walimu kusababisha goli la mkono. Alishirikiana na watu msiowajua kabisa kenge nyie.