Siku tatu za CHADEMA walizompa rais Kikwete zimeishia wapi?

utaifakwanza

JF-Expert Member
Feb 1, 2013
14,193
2,812
Chadema kupitia kigaila walitoa siku tatu kwa rais afute kauli yake kuwa uvumilivu kwa wanaccm sasa basi. Leo ni zaidi ya wiki moja, aona kimya. Vipi, wamesahau? Hawana la kumfanya? Wamesalimu amri? Wamemuogopa? Tunaomba mrejesho wa kinachoendelea
cc.
kigaila
 
Chadema kupitia
kigaila walitoa siku tatu kwa rais afute kauli yake kuwa uvumilivu kwa
wanaccm sasa basi. Leo ni zaidi ya wiki moja, aona kimya. Vipi,
wamesahau? Hawana la kumfanya? Wamesalimu amri? Wamemuogopa? Tunaomba
mrejesho wa kinachoendelea
cc.
kigaila

Na zile siku zilizobaki ambazo CDM hawajampa Kikwete nazo zimeishia wapi??
 
Chadema ni wapuyakaji tu hawana lolote la maana. Chadema ni sawa na chama cha wacheza karata tatu.
 
Tatizo cdm walidhani jk ni kiongozi muadilifu. Next time they need to shame him as they did at mwembeyanga without giving him a chance
 
Hivi mmesahau kwamba rais wa Tanzania yupo juu ya sheria (ana kinga ya kutoshtakiwa). Hata kama akikunyang'anya mke wako hadharani hakuna kitu utakachomfanya na wala hakuna mahakama utakayompeleka. Ndio maana mmoja aliweza kuoa mtoto wa miaka 16 (mfano: rais wa awamu ya pili) kwa kuwakatiza masomo yao na hakuna hatua yeyote aliyochukuliwa.
 
Walisema kumchongea kwa wakbwa zenu ughaibuni. Unapochonga unaenda kimya kimya.
 
Walisema kumchongea kwa wakubwa zenu ughaibuni. Unapochonga unaenda kimya kimya.
 
Chadema kupitia kigaila walitoa siku tatu kwa rais afute kauli yake kuwa uvumilivu kwa wanaccm sasa basi. Leo ni zaidi ya wiki moja, aona kimya. Vipi, wamesahau? Hawana la kumfanya? Wamesalimu amri? Wamemuogopa? Tunaomba mrejesho wa kinachoendelea
cc. kigaila
JK Amewatimizia ahadi huko Kigoma?
 
Attachments

  • tmp_IMG-20140223-WA0013-841637657.jpg
    tmp_IMG-20140223-WA0013-841637657.jpg
    26.9 KB · Views: 126
Chadema kupitia kigaila walitoa siku tatu kwa rais afute kauli yake kuwa uvumilivu kwa wanaccm sasa basi. Leo ni zaidi ya wiki moja, aona kimya. Vipi, wamesahau? Hawana la kumfanya? Wamesalimu amri? Wamemuogopa? Tunaomba mrejesho wa kinachoendelea
cc.
kigaila
Cdm ni Chama cha matamko.
 
Back
Top Bottom