Elections 2015 Siku tano za kampeni: Chokochoko za CCM, serikali yake na vyombo vya ulinzi

Nawasihi wana Ukawa upole huu ufike mwisho...polis wapo kwenye majaribio ya kuturudisha kwenye kipind cha uoga

hatutakubali,,,we are ready for changes
 
Kiufupi CCM wameshaona dalili zote za kushindwa, sasa wanafanya kila liwezekanalo ili kuhujumu uchaguzi na wajichukulie ushindi kwa ubabe, ama uchaguzi ushindikane na kufanya dola iliyo chini ya CCM na hivyo wataendelea kutawala.

Neno Mapinduzi kutumika mpaka leo ni dhahiri linaweza kutumika Kishetani zaidi kipindi hiki!
 
Tatizo lenu UKAWA mnafikiria mambo ni rahisi tu kwamba mpite mnadanganya watu kuwa mnataka kuwaletea mabadiliko wakati hamuwezi halafu serikali iwaache tu mfanye mnavyotaka. Haiwezekani.

Mungu wa haki anapita kwa upesi sana katika nchi hii hii! Utabaki kuangalia tu!
 
Tatizo lenu UKAWA mnafikiria mambo ni rahisi tu kwamba mpite mnadanganya watu kuwa mnataka kuwaletea mabadiliko wakati hamuwezi halafu serikali iwaache tu mfanye mnavyotaka. Haiwezekani.


Mkuu huoni aibu kutoa hoja kama hii kwenye mjadala wenye uzito ka huu?? Kumbe ukiwa ccm akili zako unaziacha kwa mjumbe wa nyumba 10 ukatembea bila akili??
Hebu jaribu kujisomea ulicho andika ulinganishe na uzi tunao jadili. Kuwa shabiki wa ccm yataka moyo
 
Kufa si mchezo lazima utapetape tu, but no way sis heem have day this year!
 
Chadema imeshauzwa. Kuna kila dalili kuwa mnunuzi wa Chadema anataka kuibadilisha iwe kikundi cha sanaa...
Ndugu ZeMarcopolo ujumbe wako unahusiana na alichoandika mkuu mtatiro Julius ??
Ni busara kukaa kimya kama huwezi kujibu/kuhoji hizo hoja alizoandika Mtatiro.
MUNGU IBARIKI TANZANIA na Watanzania Malofa
 
Last edited by a moderator:
Mtatiro acha kuchochea vurugu Tanzania tambua kuwa amani ikivurugika utakuwa sehemu ya washitakiwa ICC The Hague.

Mtatiro hachochei vurugu, ccm na serikali yake ndiyo kinara wa vurugu. Tangu kampeni zimeaanza tumeona mengi, vijana kuitwa vibaka, makapi, oil chafu n.k kwani nani aliyezalisha hao vibaka kama sio serikali iliyopo madarakani!

Wewe/nyie tangu umeanza kazi umebadilisha waajiri wangapi!! mbona sio shida, ila mtu akiamia chama kingine ni shida!! Kuna tofauti gani na kubadilisha mwajiri!! Vijana juzi walivaa tu tshirt zenye kuhitaji mabadiliko wameambia wanaandamana bila kibali, leo wapo gerezani. Wananchi wanayaona haya yote, siku uvumilivu ukiwaisha, hapo lumumba hapatakalika. Busara, sheria na ubinadamu utumike.
 
Tatizo lenu UKAWA mnafikiria mambo ni rahisi tu kwamba mpite mnadanganya watu kuwa mnataka kuwaletea mabadiliko wakati hamuwezi halafu serikali iwaache tu mfanye mnavyotaka. Haiwezekani.

Kweli ninyi hamna maana kabisa! Yaani unadhani Wa-TZ ni wajinga kiasi hicho! Kwani wewe ni nani hata uwaamulie hatima ya maisha yao na watoto zao? Tafadhalini sana, heshimuni maamuzi ya sie Wapumbafu na Malofa, msijidanganye hata kidogo kuwa mambo yakiharibika mtasalimika. Tunajuana vyema, ni vyema mkakaa mbali na hili. Waache Wapumbavu na Malofa WAAMUE.
 
Julius Mtatiro nadhani imefika wakati tuijaribu mahakama. Huyo mtu wa Halmashauri ya Ilala apelekwe mahakamani akathibitishe huyo aliyekodisha huo uwanja kwa siku hiyo ya uzinduzi wa Kapmeni.
 
Last edited by a moderator:
Tatizo lenu UKAWA mnafikiria mambo ni rahisi tu kwamba mpite mnadanganya watu kuwa mnataka kuwaletea mabadiliko wakati hamuwezi halafu serikali iwaache tu mfanye mnavyotaka. Haiwezekani.
I am sorry kukuambia hili nadhani unastahili, kwamba;

Wewe ndiye miongoni mwa wale "wapumbavu" na "malofa" wa fikra aliowasema aliyewahi kuwa mwenyekiti wenu wa CCM "Lodilofa" Benjamini W. Mkapa!!

Kwa akili zako ambazo ziko reflected na unachoandika utadhani na kuniambia maneno hayo ya ndugu yenu yaliwalenga wapinzani, however the truth is opposite...... Ni watu kama wewe!

Amka, umelala. Usiwe mpumbavu wala lofa Wewe!!

##Vote for Changes dude!!!
 
serikali ipi hii ya raisi wake anahongwa suti pair tano kwa kubadilishana na loliondo hii ya kumaliza asilimia sitini tembo kwi kwi itaipata safari hii na nguvu ya umma

inaumiza hii nch kuwa na watu maskini kiasi hiki alafu rais anafanya upumbavu wa aina hiyo.
 
wakuu nisaidieni ile namba ili nipate kuhakiki makali ya kichinjio changu
 
Back
Top Bottom