Siku Shilole Classic alipomwaga umombo...

Joined
Aug 12, 2011
Posts
7,150
Reaction score
14,724
shilole.jpg
 
طمنىبي ىذلب
 
Ndugu yangu kabla ya kumshangaa na kuamua kupost hii thread yako ulipata muda wa kutafakari na kujiuliza kuwa hii si lugha mama yake? Kwa hiyo Shilole kufanya makosa madogo madogo si kitu cha kushangaza, na naamini ipo siku atakuwa tu na grammar nzuri. Mbona inapotokea mgeni kukosea kuzungumza, kuandika au kosoma Kiswahili hatushabikii kwa kuwaanika huku JF. Badilika ndugu yangu. Kama wewe uliandaliwa mazingira ya kukusaidia kujua lugha za kigeni basi wengine hatukupata.
 
naomba umfikishie hongera zangu "an excellent try" kama wewe ni miongoni mwa wachache waliokombolewa kifikra, kiingereza ni just a mere added advantage siyo dili kubwa kihivo hadi ulete humu. Najua anajifunza ili kupanua soko lake lakini siyo kana kwamba hataishi bila hiyo lugha ya kikoloni
 
Ni wapi nilipomkosoa? Mimi nimeiweka hapa kwa kuwa yeye mwenyewe kaiweka kwenye mitandao...
 
naomba umfikishie hongera zangu "an excellent try" kama wewe ni miongoni mwa wachache waliokombolewa kifikra, kiingereza ni just a mere added advantage siyo dili kubwa kihivo hadi ulete humu. Najua anajifunza ili kupanua soko lake lakini siyo kana kwamba hataishi bila hiyo lugha ya kikoloni

Ni wapi nilipomponda kwa Kiingeleza chake? Hebu soma heading kwanza kabla hujakimbilia kulalamika...
 
Ndugu yangu kabla ya kumshangaa na kuamua kupost hii thread yako ulipata muda wa kutafakari na kujiuliza kuwa hii si lugha mama yake? Kwa hiyo Shilole kufanya makosa madogo madogo si kitu cha kushangaza, na naamini ipo siku atakuwa tu na grammar nzuri. Mbona inapotokea mgeni kukosea kuzungumza, kuandika au kosoma Kiswahili hatushabikii kwa kuwaanika huku JF. Badilika ndugu yangu. Kama wewe uliandaliwa mazingira ya kukusaidia kujua lugha za kigeni basi wengine hatukupata.

Na yeye anajitutumua nini na lugha za watu? Angeandika kiswahili
 
Kizungu hawajui maraisi wa nchi seuze Shilole, as long as anafanya kazi Yake haji kukuomba wala asikushughulishe...
 
Ni wapi nilipomponda kwa Kiingeleza chake? Hebu soma heading kwanza kabla hujakimbilia kulalamika...

Mkuu kama umetafsiri hivyo ni sawa lakini sijataja directly kwamba umemponda. .. .....ukitaka kujifunza lugha yoyote kwa urahisi u need to practice the little u know with those around u ili ukosolewe na maisha yasonge thats y kapost kwenye page yake akilenga fans wake. Haya tueleze y did u bring it here
 
There you are. Nimeileta hapa kwa kuwa alitaka isomwe. Kwani hapa hakuna fans wake? Kumbuka hata mimi pia ni fan wake na Katibu Mkuu wake katika Shirikisho la Filamu...
 
Ndugu yangu kabla ya kumshangaa na kuamua kupost hii thread yako ulipata muda wa kutafakari na kujiuliza kuwa hii si lugha mama yake? Kwa hiyo Shilole kufanya makosa madogo madogo si kitu cha kushangaza, na naamini ipo siku atakuwa tu na grammar nzuri. Mbona inapotokea mgeni kukosea kuzungumza, kuandika au kosoma Kiswahili hatushabikii kwa kuwaanika huku JF. Badilika ndugu yangu. Kama wewe uliandaliwa mazingira ya kukusaidia kujua lugha za kigeni basi wengine hatukupata.

Kwa hiyo alilazimishwa kuandika kwa lugha isiyo yake? Angeandika kwa lugha anayoijua ujumbe usingefika?
 
Huyu dada ashawahi kutoka nje akiwa kajifunga taulo tu akiwa US...

Alipohojiwa kwa nini alifanya hivyo akaishia kujitetea kwa kuwa yupo US, hakuna anayefuatilia maisha ya mtu...
 
Back
Top Bottom