Ndio urijali huo...Hahahahaa, bado sijawa na sitegemei kuwa. Nimeiona tu hii Video huko Facebook na nikaona ngoja niwaletee mabingwa wa JF kwenye kitengo cha MMU watowe maoni yao. Wewe yako yanasemaje?
Mpendwa what is Wafukunyuku ? hii ndo kwanza naisikia ...hahaaa jamaa kitu kimekaa kupiga kazi.......
ila kuna watu wafukunyuku lol
Ili iweje mkuu?Naweka boya
Duh!kweli hapa Pique alionyesha udhaifu mkubwa!
Teh teh teh!Uzalendo ulimshinda,lakini kwa kusema ukweli Shakira anamvuto mkubwa!Siyo udhaifu. Naona mambo ya Viagra hayo na aliamua kupata DOZI mapema na akaenda kumpokea mtoto Airport.
Sidhani hata walisubiri kwanza wafike Hotelini, nafikiri walianzia kwanza pembeni mwa barabara na kimimba hchoooo!!!