Kibundi wa getto
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 455
- 878
Baada ya serikali kusogeza wiki 2 mbele za kuanza field, ratiba yangu inaonesha jumatatu tarehe 8/8/2016 natakiwa nianze field . Lakini maajabu mpaka sasa hivi nipo nyumbani, sijakata hata tiketi ya kwenda dodoma kwasababu ela hakuna.
Msimamo wangu :Sitaenda field mpaka akaunti isome 620000/=.Over
Msimamo wangu :Sitaenda field mpaka akaunti isome 620000/=.Over