I love bana Congo...
Kasie tosimbana na maboko
Kasie wo yo yo eeeh
Hahahahahahaaa Hahahahahahaaa
Unajua nini, umenipa bonus nzuri sana hapana jikoni. Yaani huku mkono unakoroga kwenye sufuria huku miguu na nyonga vinapishana kufatana na beats.....
Kishaiva, karibu mezani bana Congo.
Kasiba tosimbana na mabokoo...
Kasie Kasiba Lacostee.
Hahahahahahaaa wewe umenifanya nakuwa kama dancer, sijaanza kula naendelea kucheza bana Congo..... aahahahahaa kama nakuona unavoucheza huu wimbo.
Hahahahhaahahahhaaa *** you Kasibaa. ....
"Bana Congo tosimba na maboko Congo elonga"Bana Congo tosimbana maboko....
"Bana Congo tosimba na maboko Congo elonga"
"Wana Congo tushikane mikono Congo iendelee"
Yes sir.Ndo maana yake hiyo?
Hebu tazama vizuri hii video. Nipo hapo...