Sawa.lakini hamna kati yenu mtu aliyewahi kumtongoza demu shuleni kwa barua enzi hizo halafu demu anaamua tu kukuzodoa yaani.
Niko class enzi za la sita b,mara paap tony huyu hapa (yeye alikuwa la tano)na barua nililoandika kwa madoido,afu nilikuwa naaminiwa kwa ustaarabu,nature ukijumlisha na mtoto wa mwalimu basi nikajua hamna mbuyu utanishinda,weee.
Basi bidada kaja kaifungua barua kanichambua,kanipaka,niko nawaza si iwe ndoto tu jamani,hii ni nini sasa!!!basi sikujibu kitu nikawa nimejiinamia tu chini washkaji wanacheka balaa.nilijifunza kitu kuanzia hapo,siparamiagi watu hovyo hovyo,namimi usiniparamie.
Sent using
Jamii Forums mobile app