Siku nilipotoa rushwa

Nilitoaga mahakama ya ki....tu.nilikwenda kuomba affidavit(kiapo cha umri) jamaa akaniambia ili ukipate unatakiwa uwe na mashahidi(baba na mama,barua kutoka serikali ya mtaa,leaving certificate na vingine vingi)halafu sikuwa hata na kimoja.jamaa akaniambia nataka nkusaidie ukipate bila vitu hivyo nkamtoa 10000 dakika sifuri nilikuwa nikitoka getini na kiapo changu
 
Inamaa hukuwa na baba na mama wakupeleka?
 
Hii kitu haiepukiki mkuu hasa ukibanwa na shida .Wengi hawapendi ila ukibanwa hakuna jinsi utajikuta unatoa tu wala hulazimishwi.
Shida haina adabu ati.
 
Hii kitu haiepukiki mkuu hasa ukibanwa na shida .Wengi hawapendi ila ukibanwa hakuna jinsi utajikuta unatoa tu wala hulazimishwi.
Shida haina adabu ati.
Ww fetty ushawahi toa?
 
Kwan takrima ni nini? Takrima hutolewa baada ya kazi! Rushwa hutolewa ili kazi au jambo liwezekane!
Takrima kwa mujibu wa sheria iliyotungwa enzi za Ben ni kumkirimu mtu kabla na baada ya shughuli. Ni ile ubinadamu tuliojaaaliwa wabantu/afrika.
 
hili ni swala mtambuka sana mkuu
 
Viingereza vinakera kweli humu
Wengine mnaandika lugha ngumm
Hembu nendeni jukwaa lilee la wa Ulaya,kuishi Mjini imekuwa sheeeeda mpaka mnapoteza ladha ya Uzi husika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…