Siku Nilipotia maguu Dar kwa mara ya kwanza.

Siku Nilipotia maguu Dar kwa mara ya kwanza.

Hapa popobawa hakukuacha mkuu katavi,huu ni ushuhuda ili popobawa asikutembelee tena
 
Afanaaaaaleki, kufa hakuna breki wallah...!

Disemba inakaribia asee, na Mwarabu pale Mamsera ana stock ya kutosha. Naomba mwongozo wako na wa mwenyekiti Kaizer.


mwarabu lazma aonwe chap chap sana
 
Back
Top Bottom