englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Wapi huku?
mwenyewe unajiona kiduume kuongea vitu usivyovijua hahaha nan kakuambia nanguruwe iko masasi? iko wilaya ya mtwara vijijini njia ya kuelekea wilaya ya tandahimbailileta tabu sana kwa watu wa usalama wa taifa wakati mh raisi alipo fanya ziara wilayani masasi ratiba ilisomeka ifuatavyo mheshiwa atakula nanguruwe atalala nambwa hayo ni majina ya vijiji huko masasi