Yani huo wimbo hata kama nikiwa naoga, nacheza yani Skelewu skelewu skelewu.......Bilashaka ni skelewu
Mbona kimbau mbau sana huyo?
Kuku kapanda baiskeli bata kavaa raizonii...x 2...
Chezeya mr.nice
Kuku kapanda baiskeli bata kavaa raizonii...x 2...
Chezeya mr.nice
Yani huo wimbo hata kama nikiwa naoga, nacheza yani Skelewu skelewu skelewu.......
Kwani ndoa ni unene...?Mbona kimbau mbau sana huyo?
Kwani ndoa ni unene...?
Eti eh jipe moyo....ingekuwa hvyo huyo kimbaumbau unayemwona hapo asingewekwa ndani....Kwahiyo usijumuishe hcho unachodhani wew ndiyo ndoa ukadhani kila mtu ndo anachukulia hvyohvyo....Ndoa utamu!Mfupa nango na utamu, wapi na wap?
miss u toooo mamito....si nlilamba ban bwn,..