Siku nilipoegemea mlango wa Gereza

So umeua au sio? Kesi duniani imeisha jipange na kesi na Mungu Muumbaji ndio utajua hujui
Mungu pia nshamalizana nae. Hakuna dhambi haisamehewi, ispokuwa moja tu na sina nia ya kuitaja hapa
 
Experience yangu kwa Mwanafunzi. Binafsi nilikuwa na hata sasa naogopa na kuheshimu Mke wa Mtu na mwanafunzi.

Zamani wakati wa ujinga wangu mara baada ya kumaliza Form Six. Nikaitiwa kupiga Tempo ya kufundisha huko Milimani Morogoro.

Nimepiga shule vizuri huku watoto wananizoea na kujigongesha ila mi nakaza na nina misimamo yangu. Kulikuwa na binti mmoja Mzuri, kalio lipo na yupo Form IV nilimkubali ila nikasimamia nadhiri yangu ya kutojishughulisha na Mwanafunzi kwani naye niliona ananikubali. Wakamaliza shule na kurudi mtaani nami nikapata chuo Morogoro Mjini na kuacha Temple na kwenda kupiga chuo huku nimemsahau.

Siku 1 napokea simu kuwa amekuja mjini na anaishi kwa Dada yake. Nikamuelekeza Geto akawa anakuja. Dah, nilimtoa Bikra yule Dogo nikawa najilia kama mke kila nitakavyo anaileta. Nilimpenda na alinipenda sana binafsi sikuwahi na kwa umri huu, sitapenda tena kama nilivyompenda yule mwanafunzi wangu. Naye alinipenda sana na tulipanga kuoana japo umri wetu ulikuwa mdogo nami kuna muda nilikuwa namnyanyasa na kumfanyia vitimbi.

Matokeo kutoka akapata ufadhili na akaenda soma ATC. Hahahaaaa, nadhiri zetu zikavunjika baada ya kwenda huko lakini mimi ndio nilikuwa mkosaji na alishindwa vumilia tabia zangu za kumfokea, mdharau, mtukana na ujuaji mwingi. Alicia sana na kusema.mimi na yeye basi nikajua utani kumbe ndio kweli. Nilichanganyikiwa sana baada ya kutokupokea simu wala jibu sms na baadaye kujua kaamua. Kila nikibembeleza hata pitia marafiki zake, wapi. Nikamtumia dada yake wapi, alinichoka. Nikafunga safari hadi Sanawari wapi. Basi ikawa ndio mwisho wenye maumivu mabaya kwangu. Nikaingia kwenye tabia za kishenzi tokana na maumivu.

Nisamehe mwanafunzi wangu Mamuuuu, mi mwalimu wako.
 
CHAI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…